Gonzalo Miguel
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 850
- 656
Kwaio kwacha sio level yetu shilling ikasomeKwacha iko vizuri sana
Asante Mkuu kwa hali hii pesa yetu ipo chini kwa kwacha.... Na vp kw upande wa kwacha ya Malawi (Nyasa)Kwacha moja ya Zambia ni sawa na Shiling 179.09 kwa rate za leo Jumanne Mei 28, 2019.
Kwacha 100 ya Malawi sawa na Shilingi 300Asante Mkuu kwa hali hii pesa yetu ipo chini kwa kwacha.... Na vp kw upande wa kwacha ya Malawi (Nyasa)
Wakati huo nilikuwa huko walifuta ziro tu. Yaani kama 10,000 waliondoa ziro moja ikawa 1,000.The thing ni kwamba, miaka kadhaa iliyopita, kwacha ilikuwa na thamani ndogo ukilinganisha na shilingi. Labda cha kujifunza hapa ni wenzetu walifanya nini mpaka thamani ya currency yao ikaenda juu baada ya kuporomoka.
...As sis tunakwama wapi tatzo apa ni ubebaj wa fedha Lets say mtalii kutoka Us amekuja amebeba noti tano tu za 100$ anakuja kubadil kuja bongo shillings ata kweny wallet azita kas...Au kuondo baadh ya zero kuna sababu maalum za kimataifa na kunakibal kufany ivo kwa nchi?Wakati huo nilikuwa huko walifuta ziro tu. Yaani kama 10,000 waliondoa ziro moja ikawa 1,000.
Mabadiliko yalitokea mwaka 2003. Benki kuu ya Zambia pamoja na serikali waliamua kufanya "currency rebasing". Hii ni kutokana na mfumuko mkubwa wa bei pamoja na pesa kupoteza thamani. Mfano ni noti ya kwacha 50,000 waliigawanya kwa 1000 ikawa 50 kwenye noti mpya zilizotengenezwa. Pia jina la pesa lilibadilika kutoka Na wali-define upya thamani ya hiyo pesa yao mpya ukilinganisha na dola.Wakati huo nilikuwa huko walifuta ziro tu. Yaani kama 10,000 waliondoa ziro moja ikawa 1,000.
Nilitaka kusangaa siyo kushangaa maana ilikuwa 2013 wewe umeandika 2003. Maelezo yako ni sawa hata na mimi wakati huo nilikuwa na mawazo ya kipuuzi kuona kwa nini hata sie tusingepunguza mazeros. Asante kwa article hiyoMabadiliko yalitokea mwaka 2003. Benki kuu ya Zambia pamoja na serikali waliamua kufanya "currency rebasing". Hii ni kutokana na mfumuko mkubwa wa bei pamoja na pesa kupoteza thamani. Mfano ni noti ya kwacha 50,000 waliigawanya kwa 1000 ikawa 50 kwenye noti mpya zilizotengenezwa. Pia jina la pesa lilibadilika kutoka Na wali-define upya thamani ya hiyo pesa yao mpya ukilinganisha na dola.View attachment 1111022
Mkuu fedha ya Zambia ipo juu kuliko hata ya south Africa na Namibia....ukitoa nchi za uarabun hela ya Zambia ni ya pili juu ya hela ya BotswanaFedha ya Tanzania ina nguvu kuliko ya Zambia na haijawahi kwacha kuwa na nguvu kuliko ya Tanzania...Wazambia wametoa sifuri tatu mbele ila nguvu ya fedha kwenye ununuzi upo vile vile zaidi zaidi wao ndio umeshuka zaidi hata sasa kuipata 100 USD inafika 1400 kwacha bila sifuri tatu mbele...