Kati ya Tanzania shilling na Zambian Kwacha ni fedha ipi yenye Thamani?

Kati ya Tanzania shilling na Zambian Kwacha ni fedha ipi yenye Thamani?

Gonzalo Miguel

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2018
Posts
850
Reaction score
656
“Habari zenu wkuu"

Naomba msada wa ufanuzi juu ya swala la thamani kati ya Kwacha ya Zambia na shilling ya Tz.

Mara nyingi nmekuwa nikisikia kuwa KWACHA ya Zambia haina thamani mbele ya SHILLING ya Tanzania. Hii ina maana kuwa shilling yetu ina thaman kulko kwacha ya Zambia.

Swali limenijia bada ya kuangalia currency exchange kwa kutumia dollar ambapo:
1$=Tzsh 2230/=
1$=Zkw 14 or 19 iv
Je?suala la thaman ya fedha likoje?

Naona Sis ndio tunaobeba fedha nying mfukon kuliko watu wa Zambia kwa matumiz yale yale kwa pande zote
Wakuu naomba ufafanuz wenu

NOTE:Nakubal kukosolewa ktk uchunguz wangu mdogo nilio ufanya
 
Kwacha moja ya Zambia ni sawa na Shiling 179.09 kwa rate za leo Jumanne Mei 28, 2019.
 
Mkuu uki google tu unapata majibu.But kwacha ipo juu
 
Kwacha moja ya Zambia ni sawa na Shiling 179.09 kwa rate za leo Jumanne Mei 28, 2019.
Asante Mkuu kwa hali hii pesa yetu ipo chini kwa kwacha.... Na vp kw upande wa kwacha ya Malawi (Nyasa)
 
1000 zambian kwach ni sawa na 76.43usd
1000 ya tz ni sawa na 0.44usd.............🙄🙄
 
Wakati huo nilikuwa huko walifuta ziro tu. Yaani kama 10,000 waliondoa ziro moja ikawa 1,000.
...As sis tunakwama wapi tatzo apa ni ubebaj wa fedha Lets say mtalii kutoka Us amekuja amebeba noti tano tu za 100$ anakuja kubadil kuja bongo shillings ata kweny wallet azita kas...Au kuondo baadh ya zero kuna sababu maalum za kimataifa na kunakibal kufany ivo kwa nchi?
 
Wakati huo nilikuwa huko walifuta ziro tu. Yaani kama 10,000 waliondoa ziro moja ikawa 1,000.
Mabadiliko yalitokea mwaka 2003. Benki kuu ya Zambia pamoja na serikali waliamua kufanya "currency rebasing". Hii ni kutokana na mfumuko mkubwa wa bei pamoja na pesa kupoteza thamani. Mfano ni noti ya kwacha 50,000 waliigawanya kwa 1000 ikawa 50 kwenye noti mpya zilizotengenezwa. Pia jina la pesa lilibadilika kutoka Na wali-define upya thamani ya hiyo pesa yao mpya ukilinganisha na dola.
Screenshot_20190529-073007_Samsung Internet.jpeg
 
Mabadiliko yalitokea mwaka 2003. Benki kuu ya Zambia pamoja na serikali waliamua kufanya "currency rebasing". Hii ni kutokana na mfumuko mkubwa wa bei pamoja na pesa kupoteza thamani. Mfano ni noti ya kwacha 50,000 waliigawanya kwa 1000 ikawa 50 kwenye noti mpya zilizotengenezwa. Pia jina la pesa lilibadilika kutoka Na wali-define upya thamani ya hiyo pesa yao mpya ukilinganisha na dola.View attachment 1111022
Nilitaka kusangaa siyo kushangaa maana ilikuwa 2013 wewe umeandika 2003. Maelezo yako ni sawa hata na mimi wakati huo nilikuwa na mawazo ya kipuuzi kuona kwa nini hata sie tusingepunguza mazeros. Asante kwa article hiyo
 
1000 Japanese yen = 9
.1 US $ . Hivi hii inamaanisha pesa ya Zambia iko juu kuliko ya Japan. Thamani ya pesa inapimwa kwa nguvu yake sokoni sio ukubwa wa namba kwenye kubadilisha
 
Nakumbuka mwaka 2012 nilikuwa Zambia pale mjini ugali n dagaa ulikuwa elfu 30 yni kwa kwetu elfu 3
 
Fedha ya Tanzania ina nguvu kuliko ya Zambia na haijawahi kwacha kuwa na nguvu kuliko ya Tanzania...Wazambia wametoa sifuri tatu mbele ila nguvu ya fedha kwenye ununuzi upo vile vile zaidi zaidi wao ndio umeshuka zaidi hata sasa kuipata 100 USD inafika 1400 kwacha bila sifuri tatu mbele...
 
Fedha ya Tanzania ina nguvu kuliko ya Zambia na haijawahi kwacha kuwa na nguvu kuliko ya Tanzania...Wazambia wametoa sifuri tatu mbele ila nguvu ya fedha kwenye ununuzi upo vile vile zaidi zaidi wao ndio umeshuka zaidi hata sasa kuipata 100 USD inafika 1400 kwacha bila sifuri tatu mbele...
Mkuu fedha ya Zambia ipo juu kuliko hata ya south Africa na Namibia....ukitoa nchi za uarabun hela ya Zambia ni ya pili juu ya hela ya Botswana
 
Siyumwe hilo wasomi wengi linawashinda ndio maana nimebaki nacheka tuu purchasing power ya rand ni kubwa kuliko fedha ya Nchi nyingi za SADC ni pula ndio walikua wanasumbuana nayo....ili Wazambia waende South kununua mzigo inatakiwa wawe na hela nyingi kupata rand chache vivyo hivyo ukikata ticket kwa rand na kwacha ukiwa South utatoa rand chache kwenda Lusaka ila ukiwa Lusaka kwenda Johannesburg utatoa kwacha nyingi kupata ticket hiyo hiyo nadhani utakua umenielewa sasa hivi usd imepanda Zambia kwa hiyo kununua mzigo Zambia kunalipa kuliko kupeleka maana ili upate dollar tena utatoa kwacha nyingi kwa dollar chache...
 
Back
Top Bottom