kwanza hakikisha una sifa za kuomba chuo zinazotakiwa. ukishajiridhisha unazo sifa unaweza anza na kuomba mkopo na baadae tcu - isije ikawa umepoteza 30,000 na kujikuta huna sifa za kukuwezesha kupata chuo.
mwaka huu tcu ni 50,000 hivyo ni muhimu ukakipitia kitabu chao cha admission kwa umakini sana.