kati ya tcu na heslb kipi cha kwanza

kati ya tcu na heslb kipi cha kwanza

Finder boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
608
Reaction score
150
je unaweza kujaza fomu za kuomba mkopo heslb kabla hujaomba chuo tcu?
 
kwa anayejua jamani. Kuuliza si ujinga. Tusaidieni jamani ili nasisi tutawasaidia wadogo zetu mwakani
 
Vyote vinaanza kwakuwa vina majukumu tofauti.
 
Vyote vinaanza kwakuwa vina majukumu tofauti.

kwahiyo naweza kujaza fomu za mkopo kwanza kwakuwa deadline yao ni 30june, alafu nikimaliza najaza fomu za tcu ambao mwisho ni 31july?
 
kwahiyo naweza kujaza fomu za mkopo kwanza kwakuwa deadline yao ni 30june, alafu nikimaliza najaza fomu za tcu ambao mwisho ni 31july?

inawezekana kabisa! Nakushauri uanze na heslb,then tcu baadae coz deadline yake bado.
 
kwanza hakikisha una sifa za kuomba chuo zinazotakiwa. ukishajiridhisha unazo sifa unaweza anza na kuomba mkopo na baadae tcu - isije ikawa umepoteza 30,000 na kujikuta huna sifa za kukuwezesha kupata chuo.

mwaka huu tcu ni 50,000 hivyo ni muhimu ukakipitia kitabu chao cha admission kwa umakini sana.
 
Back
Top Bottom