concordile 101 JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 3,379 Reaction score 6,624 Nov 5, 2013 #1 wadau ninaham ya kuanza kwenda nje kununua nguo za kuuza jumla na rejareja. siku zote nimekuwa nachukulia mzigo wangu nairobi , naomba wazoefu mnidadafulie wapi naweza pata nguo za ukweli kati ya china na thailand
wadau ninaham ya kuanza kwenda nje kununua nguo za kuuza jumla na rejareja. siku zote nimekuwa nachukulia mzigo wangu nairobi , naomba wazoefu mnidadafulie wapi naweza pata nguo za ukweli kati ya china na thailand