concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 3,379
- 6,624
wadau ninaham ya kuanza kwenda nje kununua nguo za kuuza jumla na rejareja. siku zote nimekuwa nachukulia mzigo wangu nairobi , naomba wazoefu mnidadafulie wapi naweza pata nguo za ukweli kati ya china na thailand