profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
Milango mitano na ni luxiary.Chukua noar new model zipo bomba sana
Chukua noar new model zipo bomba sana
Nazikubali sana na ikiwa black aisee inapendeza sanaMilango mitano na ni luxiary.
mbona nasikia new model 5doors,kwa barabara zetu za tz ni pasua kichwa sana,body inachoka mapema sana.Chukua noar new model zipo bomba sana
Hamna kitu utunzaji wako tu kuna namba c bado zimesimamaBox uchafu
Labda kama unaifanyia daladala ila kwa misele na mishe iko poambona nasikia new model 5doors,kwa barabara zetu za tz ni pasua kichwa sana,body inachoka mapema sana.
Hamna kitu utunzaji wako tu kuna namba c bado zimesimama
Noar new model ni nzuri labda kama unataka kubeba abiriaYale mabampa ya fibre unatunza vipi kama unakaa masaki sawa
Noar new model ni nzuri labda kama unataka kubeba abiria
Haka kagari sikapendi.hivi mitaa ya ilala na temeke,kuna duka ambalo ni spesho kwa spea used za noah old model?
View attachment 1789625
ukifunga rim size 15,zinakuwa juu pia,ila show room road tourer na field tourer zipo juu kwa bei,cjui kwa nini.Chukua extra limo au exurb ziko poa zaidi kwa body, hiyo road tourer lipo chinichini sana
Hivi Noah stability yake ipoje?Nimemiliki zote hizo niamini mimi mkuu, road tourer bampa zake zimeshuka zaidi chini kitu kinachoifanya iwe chini so ukifunga hizo rims size 15 bado hujatatua tatizo coz noah mostly tyre size ni 14 na 15 ukifunga kubwa ili iwe juu utapoteza muonekano wake na stability.
kwa nini huipendi noah,road tourer old model cc 1990,nipe sababu mkuu,,,kweli kila shetani na mbuyu wake...Haka kagari sikapendi.
Kwa hiyo hata kwenye spea sikuelekezi.
Sorry Mkuu.
we mdada unajua mambo yote hayo unajua hapo unaongelea mambo ya vehicle aerodynamics and stability, I thought women and mechanics do not mixHivi Noah stability yake ipoje?
Nikiiangalia ile streamlining ya kuipa stability sioni kwa shepu lile.
I'd really love to know especially kwenye routes za mkoa mfano Dar Iringa/Mwanza.
Sina imani nazo kabisa