Kati ya Toyota Noah hizi, nichukue ipi wakuu?

Kati ya Toyota Noah hizi, nichukue ipi wakuu?

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
1,595
Reaction score
3,416
Nataka kununua toyota Noah, 2wd,1990cc, sasa kuna, Field tourer, Road tourer, Super extra limo, Exurb, kwa wazoefu ipi ni nzuri kwa, kula mafuta, kutulia barabarani, muonekano wa board nje na ndani.

Je, spea zinaingiliana?msaada wataalamu.
 
hivi mitaa ya ilala na temeke,kuna duka ambalo ni spesho kwa spea used za noah old model?

IMG_20210513_093359.jpg
 
Noar new model ni nzuri labda kama unataka kubeba abiria

Kwa barabara zetu gari haifai, labda kama huyo mtu mazingira yake ni full lami. Ila bampa zinafumuka kinoma muda sio mrefu utaona mabampa yamefungwa Gyspum screw au Imepigwa revert

usione watu wananunua field tourer au Exurb ukaona hawapendi muonekano mzuri
 
Nimemiliki zote hizo niamini mimi mkuu, road tourer bampa zake zimeshuka zaidi chini kitu kinachoifanya iwe chini so ukifunga hizo rims size 15 bado hujatatua tatizo coz noah mostly tyre size ni 14 na 15 ukifunga kubwa ili iwe juu utapoteza muonekano wake na stability.
 
Hivi Noah stability yake ipoje?

Nikiiangalia ile streamlining ya kuipa stability sioni kwa shepu lile.

I'd really love to know especially kwenye routes za mkoa mfano Dar Iringa/Mwanza.

Sina imani nazo kabisa
 
we mdada unajua mambo yote hayo unajua hapo unaongelea mambo ya vehicle aerodynamics and stability, I thought women and mechanics do not mix

Sent from my SM-G900I using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom