Kati ya Toyota Raum na Toyota Ractis ninunue ipi?

raum mkuu toyota ractis huwa zinasumbua sana gear box hasa kwenye mfumo wa gia

karibu sana jerry empire tukupatie gari ya ndoto yako kwa gharama nafuu na zenye ubora tupo ilala dar es salaam
0623953036
0659756647

Sent using Jamii Forums mobile app
gear box yake inataka oil yake special ukitumia hizi za sijui total, engen lazima izingue ipe kitu inataka utaenjoy
 
Hizo gari zote zina engine sawa labda aangalie vitu vingine, raum ni pana kwa ndani kulikoa Ractis inafaa kwa familia ya kati/ndogo. Ractis nafikiri kuna zinazokuja na seats 2 za watoto nyuma kabisa unazikunja. Baadhi ya Raum zipo chini sana kuliko Ractis.

Zote zina matatizo sawa kwenye oil, 1NZ-FE ukicheza kidogo tu unakaanga engine, kuwa makini na oil za engine na gearbox, coolant n.k, zina tabia ya kutengeneza ukoko kwenye Sampo!!

Note: 1NZ-FE recommended for only 200,000 Km life span.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchango bora kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point to not pia ninkuwa ractis gear box ni CVT wakati raum ni ATF
 
Ractis za AT ni limited edition.....

Zipo chache mno... af ni 4WD....
Mbona Kuna 2wheel hapo kaka?? Sio kwamba nakupinga ila nataka kupata taarifa sahihi?? Kwamba hao jamaa kwenye Site yao wanatoa taarifa sio au wewe umetoa taarifa sio?? Nisaidie maana nataka nivute hii kwa ajili ya mzee wangu.
 
Mbona Kuna 2wheel hapo kaka?? Sio kwamba nakupinga ila nataka kupata taarifa sahihi?? Kwamba hao jamaa kwenye Site yao wanatoa taarifa sio au wewe umetoa taarifa sio?? Nisaidie maana nataka nivute hii kwa ajili ya mzee wangu.
Ractis toleo la Kwanza XP100

Kuna za 2WD ambazo ndio zina CVT.

Zipo za 4WD ambazo zinakuwa na AT.

Ractis toleo la pili XP120

2WD ni CVT

4WD ni Manual (European market)

Mimi ndio najua hivo mkuu.

2WD af iwe AT kwa Ractis sijawahi kuiona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…