Hizo gari zote zina engine sawa labda aangalie vitu vingine, raum ni pana kwa ndani kulikoa Ractis inafaa kwa familia ya kati/ndogo. Ractis nafikiri kuna zinazokuja na seats 2 za watoto nyuma kabisa unazikunja. Baadhi ya Raum zipo chini sana kuliko Ractis.
Zote zina matatizo sawa kwenye oil, 1NZ-FE ukicheza kidogo tu unakaanga engine, kuwa makini na oil za engine na gearbox, coolant n.k, zina tabia ya kutengeneza ukoko kwenye Sampo!!
Note: 1NZ-FE recommended for only 200,000 Km life span.
Sent using
Jamii Forums mobile app