kantalambaz
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 1,878
- 887
Haitomsumbua kivipi? Kila gari inasumbua.Haitomsumbua kivipi? Kila gari inasumbua, usipokuwa makini na uendeshaji wako. Hivyo, kama anataka usafiri usiosumbua basi achukue baiskeli.
Kama ana bajeti ya kununua Van Guard, basi aichukue.
Kluger na Harrier ni gari moja. Isipokuwa muonekano.
Hata baiskeli inasumbua usipokuwa makini na hata kutembea kwa miguu nako kunasumbua usipokuwa makiniHaitomsumbua kivipi? Kila gari inasumbua, usipokuwa makini na uendeshaji wako. Hivyo, kama anataka usafiri usiosumbua basi achukue baiskeli.
Kama ana bajeti ya kununua Van Guard, basi aichukue.
Kluger na Harrier ni gari moja. Isipokuwa muonekano.
Mi naona kabla hatujaenda mbali na mjadala labda ungesema zote ziwe za mwaka gani,maana kadri miaka inavyoenda kila mmoja anarekebisha hitilafu kwenye gari zake...Wadau habari za kazi
Naomba kujua kati ya Toyota vanguard, Toyota Harrier na Toyota Kluger ni ipi ambayo mtu akiwa nayo haitamsumbua sana?
Natanguliza shukrani.
vanguard ni rav4 miss tz ikiyochangamkaMkuu hapo mm na kk ushauri okota vanguard
vanguard ni rav4 miss tz ikiyochangamka
2AZ ndio engine pendwa kwenye aina hizo za magari.
Noma sana!vanguard ni rav4 miss tz ikiyochangamka