Kati ya Toyota vanguard, Toyota harriers na Toyota kluger ni ipi nzuri?

Kati ya Toyota vanguard, Toyota harriers na Toyota kluger ni ipi nzuri?

Vanguard haijawa Yebo kama hizo zingine na bei yake imechangamka kuliko hao.

Kama unapenda spare tire kukaa kwa nyuma chukua mlango wa RAV4 (Miss Tz) inaingiliana.
 
Gari nyingi za Toyota zipo overpriced. Tena hasa SUV.

Ukiangalia gharama in a long run utagundua haziko overpriced kama za Ulaya. Gari za Ulaya bei na maintenance costs zake zitakuja kupita hata hiyo bei ya toyota ndani ya miaka kuanzia minne hadi mitano. Ila tu, Toyota nyingi haziko comfortable na safe kama European cars ila ndo kinachofanya gharama zake za matengenezo zisiwe ghali sana
 
Back
Top Bottom