Kati ya Toyota vitz na Toyota funcargo ipi bora.

Kati ya Toyota vitz na Toyota funcargo ipi bora.

Buhaya boy

Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
88
Reaction score
16
Wana JF pole na majukumu---

binafsi naomba kujuzwa kati ya magari tajwa hapo juu lipi ni imara na lenye jatumizi bora ya mafuta na pia spea.
Natanguliza shukran wadau--
 
Ukiwa unafanya comparison ya vitu viwili ukaweka vigezo viwili pia utapata majibu mawili tofauti.
Swali lako linataka uimara wa gari au matumizi ya mafuta?
 
kabla sijajua unataka nn hasa,chagua IST ni bora zaidi ya vitz n funcargo interms of comfortability,uimara,econo
y,classy,spea zipo,muonekano mzur pia.
 
Back
Top Bottom