Kati ya Toyota Wish na Toyota IST upi unyama?

aliyetegwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
320
Reaction score
526
Heshima kwenu,
Naomba ushauri juu ya uchaguzi wa ununuzi wa Toyota Rush au IST, kiupekee napenda muundo wa Rush imekaa kama gari Fulani yenye hadhi ila sio mjuzi wa magari hata punje, nimeileta kwenu nisaidieni kufanya maamuzi kwa kuzingatia sifa za gari hizo.
 
rush ina ground space kubwa, ni nzuri kwa maeneo korofi, ila bei yake mzee imepaa. pia rush zinachangamoto ya gearbox nasikia.

nunua gari kutokana na mahitaji yako.
 
rush ina ground space kubwa, ni nzuri kwa maeneo korofi, ila bei yake mzee imepaa. pia rush zinachangamoto ya gearbox nasikia.

nunua gari kutokana na mahitaji yako.
Shukurani mkuu, ukiacha gearbox hakuna kingine cha kujazia nyama kama kwenye muonekano wake na mengine na kama ungekua unachagua wewe ungechagua gari gani?
 
Km bado hujanunua gari… Rush km ya kuagiza chukua, km y mkononi n bora ukachukua IST…
Rush zinachangamoto nyingi sn compare to IST… japo n mini suv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…