Chizy Za kitaa
Senior Member
- Jan 7, 2014
- 167
- 13
WanaJF naomba ushaur mdogo wangu ana4 ya point 26_(2012) naomba ushauri wenu asome mafunzo gan kat ya ualimu na kilimo? matokeo yake ni: civics_D, Hist_C, Kisw_C, Eng_D, Geo_D, Chem_D, Bios_D, Math_F