Kati ya Ukatibu Mkuu wa Chama na Ukuu wa Mkoa kipi ni cheo kikubwa?

Kati ya Ukatibu Mkuu wa Chama na Ukuu wa Mkoa kipi ni cheo kikubwa?

NB: Naomba hii mada ijadiliwe na watu wenye uelewa sio kila mada ina mrengo wa utani na masihara. Kama huna hoja ukae kimya ujifunze.

Wadau nimeona katika teuzi za leo Bw. Daniel Chongolo former General Secretary wa CCM ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa. Hii ni promotion au demotion? Tunaomba watu wenye uelewa wa masuala haya watufahamishe.
Muhimu bora mkono uende kinywani.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
NB: Naomba hii mada ijadiliwe na watu wenye uelewa sio kila mada ina mrengo wa utani na masihara. Kama huna hoja ukae kimya ujifunze.

Wadau nimeona katika teuzi za leo Bw. Daniel Chongolo former General Secretary wa CCM ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa. Hii ni promotion au demotion? Tunaomba watu wenye uelewa wa masuala haya watufahamishe.
Mkuu wa mkoa analazimishwa kuwepo mkutano wa katibu wa chama na kujibu hoja na maswali atakayoulizwa,pia anapokea maelekezo kwa mikono miwili .Kwa wewe anayepokea maelekezo na anayetoa maelekezo nani mkubwa
 
NB: Naomba hii mada ijadiliwe na watu wenye uelewa sio kila mada ina mrengo wa utani na masihara. Kama huna hoja ukae kimya ujifunze.

Wadau nimeona katika teuzi za leo Bw. Daniel Chongolo former General Secretary wa CCM ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa. Hii ni promotion au demotion? Tunaomba watu wenye uelewa wa masuala haya watufahamishe.
Acha na hayo mambo wewe.
Piga kazi tafuta pesa mwenzio anaingiza PESA
 
NB: Naomba hii mada ijadiliwe na watu wenye uelewa sio kila mada ina mrengo wa utani na masihara. Kama huna hoja ukae kimya ujifunze.

Wadau nimeona katika teuzi za leo Bw. Daniel Chongolo former General Secretary wa CCM ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa. Hii ni promotion au demotion? Tunaomba watu wenye uelewa wa masuala haya watufahamishe.
Unaweza kujiuliza na swali hili Dr. Mashinji aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CHADEMA ilikuwaje akubali uteuzi wa kuwa DC tena mkoani.

Pia mara kadhaa tunaona viongozi waandamizi wa jumuiya za CCM hasa UVCCM mara baada ya kuhudumu kwenye chama wanapewa ukuu wa wilaya.

References:
Kheri James aliyekuwa mwenyekiti UVCCM taifa sasa ni DC

Hassa Bomboka, Paulo Makonda, Jokate Mwengelo, Victoria Mwanziva hao wote waliyoka kuwa makatibu hamasa wa UVCCM taifa na kisha kupewa ukuu wa wilaya.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) huwa kina utaratibu wa kuwapa makada wake ulaji serikalini. Hiyo ni kama platform ya kuwajenga kisiasa. Baadaye utashangaa hao watu ni wabunge na mawaziri.

Naamini hata wapinzani wanatamani uteuzi huo kama Dr.Mashinji.
 
Hii sio demotion kwa kuwa kateuliwa kuwa RC akitokea Mtaani

ingekuwa ametoka kuwa Katibu Mkuu akawa RC ingekuwa demotion

tuna Makatibu Wakuu wawili walitoka kwny u RC na kuwa Katibu Mkuu wa CCM

Philip Mangula alitoka kuwa RC Kagera akawa Katibu

Yusuph Makamba alitoka kuwa RC Dsm akawa Katibu Mkuu

ila Makatibu wakuu wa vyama shikizi vyote vilivyobaki wanatamani sana kupata fursa ya kuwa RC
Vyama Shikizi 😁😁😁
 
Inaonelana Mjumbe tayari una jibu lako mfukoni, sioni kama una niacya dhati kuelimishwa. Lakini ngoja nijsribu. Rais ni Rais wa Kila mtu,ni kama Mbinge ambaye Jimbo lake ni Nji nzima. Ndiye Mkuu wa Nji, Amiri Mkuu wa Majeshi. Anaweza kuthibitisha unyongwe au usinyongwe. Mtu hiyo Si maskhara wachana na wapuuzi kama Dr Slaa anayedai Rais ni mtumishi wake. Kwa vile Rais ni mtu moja hauwezi kuwa Kila mahali na kukalia Kila kiti, ana madaraka pia ya kuteua wa kumwakilisha, iwe Muhimbili au TANESCI au JWTZ au Tarafa ya Njiro. Au kuwa Mkuu wa Mkoa. Kujibu swali lako Rais ni mkubwa kuliko Katibu Mkuu wa CUF. Like I said, nadhani uliuliza kwa Nia nziri nimekujibu kwa Nia nziri. Kuhudu Chongolo kama Chongolo hili tuliachie siku ingine
Nji ndiyo nn?

Hivi ni kweli kwamba shule ulienda kwa ajili ya kukua 😁
 
NB: Naomba hii mada ijadiliwe na watu wenye uelewa sio kila mada ina mrengo wa utani na masihara. Kama huna hoja ukae kimya ujifunze.

Wadau nimeona katika teuzi za leo Bw. Daniel Chongolo former General Secretary wa CCM ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa. Hii ni promotion au demotion? Tunaomba watu wenye uelewa wa masuala haya watufahamishe.
Ukatibu Mkuu ni mkubwa zaidi. Chama kinaunda serikali na serikali inatekeleza ilani ya chama ambacho msimamizi wake ni katibu mkuu. Kwa mantiki hiyo katibu mkuu anamsimamia mkuu wa mkoa
 
Mimi naona vyeo vikubwa ki Siasa na serekali akitoka Rais anafuata katibu mkuu wa Chama Tawala.
Huyo PM sijui na Mawaziri wengine wote vile ni wanasiasa wanakuwa wapole kwa KM wa Chama Tawala.
 
Katibu Mkuu wa Chama ni mtendaji Mkuu wa Chama chake. Mkuu wa Mkoa ni mwakilishi wa Rais katika mkoa wake. Kwa hiyo anaongoza watu wote wanao ishi katika mkoa wake bila kujali vyama vyao. Aidha, ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wake.

Amandla...
Signed
 
Hakuna cha promotion wala demotion, nafasi ni nafasi kwa wakati wake

Wote ni watendaji ila eneo la kufanyia kazi ndio dogo kwa RC na pana sana kwa KM

RC ana nguvu kwenye mkoa wake, na KM-CCM ana nguvu kwa Taifa lake
Taifa lake !!!!.......huyo KM ana nguvu kwa majizi menzake huko huko ccm
 
Back
Top Bottom