Kati ya Ukatibu Mkuu wa Chama na Ukuu wa Mkoa kipi ni cheo kikubwa?

Muhimu bora mkono uende kinywani.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu wa mkoa analazimishwa kuwepo mkutano wa katibu wa chama na kujibu hoja na maswali atakayoulizwa,pia anapokea maelekezo kwa mikono miwili .Kwa wewe anayepokea maelekezo na anayetoa maelekezo nani mkubwa
 
Acha na hayo mambo wewe.
Piga kazi tafuta pesa mwenzio anaingiza PESA
 
Unaweza kujiuliza na swali hili Dr. Mashinji aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CHADEMA ilikuwaje akubali uteuzi wa kuwa DC tena mkoani.

Pia mara kadhaa tunaona viongozi waandamizi wa jumuiya za CCM hasa UVCCM mara baada ya kuhudumu kwenye chama wanapewa ukuu wa wilaya.

References:
Kheri James aliyekuwa mwenyekiti UVCCM taifa sasa ni DC

Hassa Bomboka, Paulo Makonda, Jokate Mwengelo, Victoria Mwanziva hao wote waliyoka kuwa makatibu hamasa wa UVCCM taifa na kisha kupewa ukuu wa wilaya.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) huwa kina utaratibu wa kuwapa makada wake ulaji serikalini. Hiyo ni kama platform ya kuwajenga kisiasa. Baadaye utashangaa hao watu ni wabunge na mawaziri.

Naamini hata wapinzani wanatamani uteuzi huo kama Dr.Mashinji.
 
Vyama Shikizi 😁😁😁
 
Nji ndiyo nn?

Hivi ni kweli kwamba shule ulienda kwa ajili ya kukua 😁
 
Ukatibu Mkuu ni mkubwa zaidi. Chama kinaunda serikali na serikali inatekeleza ilani ya chama ambacho msimamizi wake ni katibu mkuu. Kwa mantiki hiyo katibu mkuu anamsimamia mkuu wa mkoa
 
Mimi naona vyeo vikubwa ki Siasa na serekali akitoka Rais anafuata katibu mkuu wa Chama Tawala.
Huyo PM sijui na Mawaziri wengine wote vile ni wanasiasa wanakuwa wapole kwa KM wa Chama Tawala.
 
Signed
 
Hakuna cha promotion wala demotion, nafasi ni nafasi kwa wakati wake

Wote ni watendaji ila eneo la kufanyia kazi ndio dogo kwa RC na pana sana kwa KM

RC ana nguvu kwenye mkoa wake, na KM-CCM ana nguvu kwa Taifa lake
Taifa lake !!!!.......huyo KM ana nguvu kwa majizi menzake huko huko ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…