Mapunu jr Member Joined Jul 30, 2023 Posts 47 Reaction score 54 Mar 10, 2024 #1 Habari za jioni wakuu . Twende moja kwa moja kwenye point wakuu kumekuwa na usemi kwamba ukerewe Mwanza na kigoma kuna uchawi mwingi sana,. Swali je kati ya kigoma na ukerewe mwanza wapi panaongoza?? Wenyeji wa maeneo ayo mkuje apa mutueleze.
Habari za jioni wakuu . Twende moja kwa moja kwenye point wakuu kumekuwa na usemi kwamba ukerewe Mwanza na kigoma kuna uchawi mwingi sana,. Swali je kati ya kigoma na ukerewe mwanza wapi panaongoza?? Wenyeji wa maeneo ayo mkuje apa mutueleze.
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,590 Reaction score 6,355 Mar 10, 2024 #2 Ila uk wako vizuri kwenye nyanja hizo
M Mnafiki Wa Kujitegemea JF-Expert Member Joined Dec 30, 2022 Posts 3,751 Reaction score 6,337 Mar 10, 2024 #3 Mapunu jr said: Habari za jioni wakuu . Twende moja kwa moja kwenye point wakuu kumekuwa na usemi kwamba ukerewe Mwanza na kigoma kuna uchawi mwingi sana,. Swali je kati ya kigoma na ukerewe mwanza wapi panaongoza?? Wenyeji wa maeneo ayo mkuje apa mutueleze. Click to expand... Weka match ndipo upate majibu.
Mapunu jr said: Habari za jioni wakuu . Twende moja kwa moja kwenye point wakuu kumekuwa na usemi kwamba ukerewe Mwanza na kigoma kuna uchawi mwingi sana,. Swali je kati ya kigoma na ukerewe mwanza wapi panaongoza?? Wenyeji wa maeneo ayo mkuje apa mutueleze. Click to expand... Weka match ndipo upate majibu.
Braza Kede JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 3,840 Reaction score 6,844 Mar 10, 2024 #4 Mapunu jr said: Habari za jioni wakuu . Twende moja kwa moja kwenye point wakuu kumekuwa na usemi kwamba ukerewe Mwanza na kigoma kuna uchawi mwingi sana,. Swali je kati ya kigoma na ukerewe mwanza wapi panaongoza?? Wenyeji wa maeneo ayo mkuje apa mutueleze. Click to expand... mkuu unautaka uchawi au?funguka usaidiwe. humu kuna kila fani. humu hata ukitaka mashetani unapewa. ni wew tu
Mapunu jr said: Habari za jioni wakuu . Twende moja kwa moja kwenye point wakuu kumekuwa na usemi kwamba ukerewe Mwanza na kigoma kuna uchawi mwingi sana,. Swali je kati ya kigoma na ukerewe mwanza wapi panaongoza?? Wenyeji wa maeneo ayo mkuje apa mutueleze. Click to expand... mkuu unautaka uchawi au?funguka usaidiwe. humu kuna kila fani. humu hata ukitaka mashetani unapewa. ni wew tu
Clever1 JF-Expert Member Joined Feb 5, 2017 Posts 233 Reaction score 276 Mar 10, 2024 #5 Habari hii Ina funza.
monopoly inc JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 5,256 Reaction score 11,377 Mar 10, 2024 #6 Sumbawanga