E.KELLY ndo nani mkuu?E.KELLY ". ni hatari zaidi " japo kuwa na uheshimu mnoo uwezo WA usher pia ....wote wapo kwenye list ya billboard ya wasanii wa Kali wa wakati wote
Ajionee hapaE.KELLY ". ni hatari zaidi " japo kuwa na uheshimu mnoo uwezo WA usher pia ....wote wapo kwenye list ya billboard ya wasanii wa Kali wa wakati wote
"The world's greatest""Step in the name of love"
Saaana,.jamaa ni level nyingine kabisaaaR Kelly ni noma
Ni zaid ya noMAZZZZZZZZZZZZZ😀😀😀😀Ninaujua same girl....but R.kelly kwangu atabaki an icon
Yule jamaa anajua aseee.... ni nomazzzz!
We all know kuwa kells ni kitu kingine,alafu wengi walitabiri kells atamvuruga usher kwenye same girl,ila he did good sana.the best songDuh ,hao wote wako vizuri,ebu pitia nyimbo yao ya pamoja kwanza kama same girl
You must be kidding[emoji33]
hakuna track ya R.Kelly itakayoifikia hii yeah ya Usher,ila pia R.Kelly katoa 'hit' songs than Usher...
"The storm is over""The world's greatest"
"Sign of victory""The world's greatest"
" if I could turn back""The storm is over"
naaam " umemaliza kila kitu " umelitendea haki jina lako haswaa
hahaha matege ya ulimi hayo " so nizoee tu aiseeE.KELLY ndo nani mkuu?
"I believe I can Fly""Sign of victory"
I wish ( To the hommies we lost)" if I could turn back"