Kati ya Usher Raymond na R-Kelly nani mkali zaidi ya mwenzake kwenye miondoko ya R&B ?

Kati ya Usher Raymond na R-Kelly nani mkali zaidi ya mwenzake kwenye miondoko ya R&B ?

Kila mmoja na mtazamo wake ila wote wako vizuri, kuwa kwenye game mda mrefu haimfanyi mtu kuwa bora kuliko wengine, wapo wengi wapo mda mrefu mahali lakini ni bure kabisa. R Kelly ni mkongwe kuliko Usher kwenye game lakini haina maana kuwa Usher si mkali, vibao kama Confession, Burn, Bad girl zipo kibao ni moto wa kuotea mbali...
 
E.KELLY ". ni hatari zaidi " japo kuwa na uheshimu mnoo uwezo WA usher pia ....wote wapo kwenye list ya billboard ya wasanii wa Kali wa wakati wote
 
E.KELLY ". ni hatari zaidi " japo kuwa na uheshimu mnoo uwezo WA usher pia ....wote wapo kwenye list ya billboard ya wasanii wa Kali wa wakati wote
E.KELLY ndo nani mkuu?
 
Namkubali sana usher mzee,ila r.kelly is the best,sio wa kumfananisha nae
 
Duh ,hao wote wako vizuri,ebu pitia nyimbo yao ya pamoja kwanza kama same girl
We all know kuwa kells ni kitu kingine,alafu wengi walitabiri kells atamvuruga usher kwenye same girl,ila he did good sana.the best song
 
Back
Top Bottom