Nilichogundua hapa nadhni ishu kubwa ni umri, nahisi wenye umri mdogo wanaona usher ni mkali kwa sababu shughuri ya r kelly hawaijui vizuri, R Kerry amehit kila nyimbo aliyotoa au kutunga, ukisikiliza nyimbo kama all my days ya changing faces ft Jay z n R Kelly, fiesta, storm is over na nimbo nyingi sana za Aaliyah na nyingi ambazo zimatajwa huko nyuma nazani utamjua R Kerry vizuri. Labda R Kerry umfananishe labda na akina Baby Face, P,Diddy nk lakini sio Usher. Usher labda umfananishe na akina Ray J, Justin Timberlake nk