Biggs
JF-Expert Member
- May 3, 2014
- 2,068
- 2,314
R.Kelly ni king wa Rn'B
Even MJ knew this !! Remember the song You're Not Alone which was written by RKelly and co-produced by the two !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
R.Kelly ni king wa Rn'B
umeongozwa na chuki matokeo yake umetoa majibu ya ajabu usher awe zaisi ya r. kelly haiji kutokeaMsanii akishaimba tu na Ali Kiba anakuwa kama Digidigi.
Usher ni Zaidi.
umeongozwa na chuki matokeo yake umetoa majibu ya ajabu usher awe zaisi ya r. kelly haiji kutokea
Naomba nikupe mkono mkuu.With all due respect.. R. kelly is the baddest
U Remind me ilikuwa litusher si ana nyimbo mbili tu..my way na upumbavu gani sijui
aisee boga linafananishshwa na ka kiazi R Kelly umuweke na Usher?Acha kumfananisha R. Kelly na mambo ya kijinga!
Usilazimishe Mapenzi yako kwa Usher na uhalisia kuwa R.Kelly ni mkali kuliko Usher.Duh ,hao wote wako vizuri,ebu pitia nyimbo yao ya pamoja kwanza kama same girl
FactMsanii akishaimba tu na Ali Kiba anakuwa kama Digidigi.
Usher ni Zaidi.
Anacheza porno now dayskelly ni nyoko,sijui nn kimempata siku hz ama ndo kila mtu na zama zake