my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Mimi naona juma jux amepatia kwa kuchagua girlfriend wke mpya, wanavutia wanapendezana halafu wanaonekana wana enjoy kweli mapenzi yao. Hawatumii nguvu nyingi kuonesha wko happy picha wanazopiga zinaonekana ni original hazna ufake.
Ila hyu vanessa kama anatumia nguvu kuonyesha yko Okay lakn hayko okay. Kla picha kujichekesha ili waonekane wko happy. Hv nani aliwambia kucheka ndio unaonekana una furaha 🙄🙄 picha zao zote wanaonekana km wana force tu. Sijui amemuokotea wp hyu kaka 😂 kaka mwenywe weupe wke km mchafu sijui anajichubua hta hawapendezi. Wanatumia nguvu nyingi lkn ndio hivo NOO mpendezano NOO
Ukiachana na mpenzi wko jitahidi utafute aliemzidi vwango x wako sio unaenda Kutafuta kituko, utakuja kufa na stress kwa ku force mambo.
Juma jux na girlfriend wke mpya
Vannesa a boyfriend wke mpya