Kati ya Vanessa Mdee na Juma Jux nani amepatia?

Mimi naona juma jux amepatia kwa kuchagua girlfriend wke mpya, wanavutia wanapendezana halafu wanaonekana wana enjoy kweli mapenzi yao. Hawatumii nguvu nyingi kuonesha wko happy picha wanazopiga zinaonekana ni original hazna ufake.

Ila hyu vanessa kama anatumia nguvu kuonyesha yko Okay lakn hayko okay. Kla picha kujichekesha ili waonekane wko happy. Hv nani aliwambia kucheka ndio unaonekana una furaha 🙄🙄 picha zao zote wanaonekana km wana force tu. Sijui amemuokotea wp hyu kaka 😂 kaka mwenywe weupe wke km mchafu sijui anajichubua hta hawapendezi. Wanatumia nguvu nyingi lkn ndio hivo NOO mpendezano NOO

Ukiachana na mpenzi wko jitahidi utafute aliemzidi vwango x wako sio unaenda Kutafuta kituko, utakuja kufa na stress kwa ku force mambo.

View attachment 1316395View attachment 1316397
Juma jux na girlfriend wke mpya

View attachment 1316399
Vannesa a boyfriend wke mpya
Nonsense
 
Bro ukishatoka marekani safari inayofuata nikuelekea mars, maana umesha experience maisha ya style 3 tofauti yani yadunia 1,2, na hii dunania 3.

Swala lahela ni hustlin zako, jux ana show off nyingi lakin hajui kujiongeza, simsemi kama namchukia ila that's the reality.

Sijakuelewa unamaanisha nn unavosema "mara ya mwisho lini kwenda marekani" Kwahyo mtu akienda marekani automatic anakuwa amepatia 😂 marekani alienda hdi hamisa mobetto halafu ww unasema nini? Hyo kaka mwenywe anaonekana hata hela hna vanessa ndio anahudumia.
 
Mimi naona juma jux amepatia kwa kuchagua girlfriend wke mpya, wanavutia wanapendezana halafu wanaonekana wana enjoy kweli mapenzi yao. Hawatumii nguvu nyingi kuonesha wko happy picha wanazopiga zinaonekana ni original hazna ufake.

Ila hyu vanessa kama anatumia nguvu kuonyesha yko Okay lakn hayko okay. Kla picha kujichekesha ili waonekane wko happy. Hv nani aliwambia kucheka ndio unaonekana una furaha 🙄🙄 picha zao zote wanaonekana km wana force tu. Sijui amemuokotea wp hyu kaka 😂 kaka mwenywe weupe wke km mchafu sijui anajichubua hta hawapendezi. Wanatumia nguvu nyingi lkn ndio hivo NOO mpendezano NOO

Ukiachana na mpenzi wko jitahidi utafute aliemzidi vwango x wako sio unaenda Kutafuta kituko, utakuja kufa na stress kwa ku force mambo.

View attachment 1316395View attachment 1316397
Juma jux na girlfriend wke mpya

View attachment 1316399
Vannesa a boyfriend wke mpya
 
Ukiona watu wameachana kisha kila mmoja anataka kumuonyesha mwenzake kua kwasasa amepata Girl friend mwingine au Amepata Boy friend mwingine na kutambiana basi ujue hao watu bado wanapendana na kila mmoja anaumia,

Ukiachana na mtu,songa mbele na maisha yako,wala huna haja ya kutizama nyuma wala kumtambia kwa lolote.
Hiyo ni saikolojia ya mahusiano
 
ulijuaje kama Tanasha ana sifa za u wife material ulijuaje?? Ulishawahi kukaa nae
Kuna wakati mwingine unamjua mtu kupitia lifestyle yake ya maisha kupitia mitandaoni mfano youtube, insta yake pamoja na kuongoa kwake Kama tunavyomjua gigy money, diva, wema sepetu, Vera sindika, Kim Kardashian n.k
 
Mtoa mada kwa jinsi ulivyoandika kwa hasira nakushauri meza hedex upumzike, duuuh!
 
Kuna wakati mwingine unamjua mtu kupitia lifestyle yake ya maisha kupitia mitandaoni mfano youtube, insta yake pamoja na kuongoa kwake Kama tunavyomjua gigy money, diva, wema sepetu, Vera sindika, Kim Kardashian n.k
Hivi vyote ulivyovitaja mtoa Mada una hakika gani hajavitumia??
 
Mimi naona juma jux amepatia kwa kuchagua girlfriend wke mpya, wanavutia wanapendezana halafu wanaonekana wana enjoy kweli mapenzi yao. Hawatumii nguvu nyingi kuonesha wko happy picha wanazopiga zinaonekana ni original hazna ufake.

Ila hyu vanessa kama anatumia nguvu kuonyesha yko Okay lakn hayko okay. Kla picha kujichekesha ili waonekane wko happy. Hv nani aliwambia kucheka ndio unaonekana una furaha 🙄🙄 picha zao zote wanaonekana km wana force tu. Sijui amemuokotea wp hyu kaka 😂 kaka mwenywe weupe wke km mchafu sijui anajichubua hta hawapendezi. Wanatumia nguvu nyingi lkn ndio hivo NOO mpendezano NOO

Ukiachana na mpenzi wko jitahidi utafute aliemzidi vwango x wako sio unaenda Kutafuta kituko, utakuja kufa na stress kwa ku force mambo.

View attachment 1316395View attachment 1316397
Juma jux na girlfriend wke mpya

View attachment 1316399
Vannesa a boyfriend wke mpya
Kwani hapa vanesa ndo yup na huyo mwanaume ndo yup?
 
Veemoney kapatia aisee watu anao hang nao kwa sasa jux ataishia kuwaona kwenye luninga vee ataendelea kuwa juu tu mitandao mikubwa isha muandika jamaa kule us ni actor pia musician nk.so chain la masela na washikaji wake sio kipole marafiki wa mume lazima wakutane na shemeji yao upande wa jux uyo mchina hana ata jina ni kama videmu tu vile vya mtandaoni unaagizia ka soda tu vee kaokota jiwe la dhababu lazima ang'ae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani mkuu we ni jinsia gani?
 
Sijakuelewa unamaanisha nn unavosema
"mara ya mwisho lini kwenda marekani" Kwahyo mtu akienda marekani automatic
anakuwa amepatia 😂 marekani alienda hdi
hamisa mobetto halafu ww unasema nini?
Hyo kaka mwenywe anaonekana hata hela
hna vanessa ndio anahudumia.
Huyo demu wa jux sajali mwili mzima feki,si bora v money na mtuwe,kwanza humjui vizuri huyu rotimi wewe jamaa yupo vizuri kimziki na uigizaji na kifedha patamu na konekshen na mastaa wakubwa ndio balaa so mbaka hapo vmoney kambwaga mbali hasimu wake,hao watailend baili kichizi jux anapambana na hali yake
 
Back
Top Bottom