Kati ya Vanessa Mdee na Juma Jux nani amepatia?

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,397
Mimi naona juma jux amepatia kwa kuchagua girlfriend wke mpya, wanavutia wanapendezana halafu wanaonekana wana enjoy kweli mapenzi yao. Hawatumii nguvu nyingi kuonesha wko happy picha wanazopiga zinaonekana ni original hazna ufake.

Ila hyu vanessa kama anatumia nguvu kuonyesha yko Okay lakn hayko okay. Kla picha kujichekesha ili waonekane wko happy. Hv nani aliwambia kucheka ndio unaonekana una furaha πŸ™„πŸ™„ picha zao zote wanaonekana km wana force tu. Sijui amemuokotea wp hyu kaka πŸ˜‚ kaka mwenywe weupe wke km mchafu sijui anajichubua hta hawapendezi. Wanatumia nguvu nyingi lkn ndio hivo NOO mpendezano NOO

Ukiachana na mpenzi wko jitahidi utafute aliemzidi vwango x wako sio unaenda Kutafuta kituko, utakuja kufa na stress kwa ku force mambo.



Juma jux na girlfriend wke mpya





Vannesa a boyfriend wke mpya
 
Muulize juma jux mara ya mwisho kutoka marekani ilikuwa lini, akikujibu ndio utajua nan amepatia hivyo unavyomaanisha....
Sijakuelewa unamaanisha nn unavosema "mara ya mwisho lini kwenda marekani" Kwahyo mtu akienda marekani automatic anakuwa amepatia πŸ˜‚ marekani alienda hdi hamisa mobetto halafu ww unasema nini? Hyo kaka mwenywe anaonekana hata hela hna vanessa ndio anahudumia.
 
Ukiona watu wameachana kisha kila mmoja anataka kumuonyesha mwenzake kua kwasasa amepata Girl friend mwingine au Amepata Boy friend mwingine na kutambiana basi ujue hao watu bado wanapendana na kila mmoja anaumia,

Ukiachana na mtu,songa mbele na maisha yako,wala huna haja ya kutizama nyuma wala kumtambia kwa lolote.
 
Hakika
 
" Ukiachana na mpenzi wko jitahidi utafute aliemzidi vwango x wako sio unaenda Kutafuta kituko "
Huu ni utoto.
Ukiachana na mpenzi wako just move on hata ikiwa ngumu vipi, fall in love baadae hata na ugliest watakaosema,its matter of the heart, ukisaka viwango,siku vikidrop utamuacha'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…