proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
Hiki sitakisahau story yake nzuri kweli means Changes is not an overnight processThe black hermit by ngugi wa thion'go
Enzi nipo shule ya msingi nilikua napenda kusoma vitabu vyenye hadithi tamu sana ila ukiangalia vitabu vya enzi hizi hakuna kitabu kinachonipa hamasa ya kukisoma
Enzi hizo nilisoma hadithi kv tamu kv.
Sizitaki mbichi hizi.
Sadiki na chitemo[emoji28]
Mzee tola
Mua wazamisha meli bukoba
Faraja mchoyo.
We unakumbuka hadithi ipi iliokufurahisha enzi izo?