Kati ya vitabu vitamu nilivyowahi kuvisoma

Kati ya vitabu vitamu nilivyowahi kuvisoma

Kwa kweli mkuu. Natafuta sana hicho kitabu "SITAOGOPA" bila mafanikio. Nilipoteza Copy yangu
Copy zinapatikana. Tembelea book store ya vitabu vya Christianity mji ulipo.

Pia tafuta kitabu "Kusukumwa na Upendo" - Bruce Olson.

Ni kuhusu missionary mission huko Amerika Kusini.

Utashangaa Bruce Olson alivyowasaidia Wamotilone. Kabila la kiasili huko mpakani kati ya Colombia na Venezuela.

Vitabu vizuri vipo.
 
Asante Mkuu
 
𝐖𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐯𝐢𝐭𝐚𝐛𝐮 𝐭𝐚𝐟𝐚𝐝𝐡𝐚𝐥𝐢 𝐬𝐡𝐚𝐫𝐞 𝐚𝐩𝐚
 
Enzi nipo shule ya msingi nilikua napenda kusoma vitabu vyenye hadithi tamu sana ila ukiangalia vitabu vya enzi hizi hakuna kitabu kinachonipa hamasa ya kukisoma

Enzi hizo nilisoma hadithi kv tamu kv.
Sizitaki mbichi hizi.

Sadiki na chitemo[emoji28]

Mzee tola
Mua wazamisha meli bukoba

Faraja mchoyo.

We unakumbuka hadithi ipi iliokufurahisha enzi izo?
KUI YA HAKI NA HIBA YA WIVU
 
Back
Top Bottom