Copy zinapatikana. Tembelea book store ya vitabu vya Christianity mji ulipo.Kwa kweli mkuu. Natafuta sana hicho kitabu "SITAOGOPA" bila mafanikio. Nilipoteza Copy yangu
Copy zinapatikana. Tembelea book store ya vitabu vya Christianity mji ulipo.
Pia tafuta kitabu "Kusukumwa na Upendo" - Bruce Olson.
Ni kuhusu missionary mission huko Amerika Kusini.
Utashangaa Bruce Olson alivyowasaidia Wamotilone. Kabila la kiasili huko mpakani kati ya Colombia na Venezuela.
Vitabu vizuri vipo.
KUI YA HAKI NA HIBA YA WIVUEnzi nipo shule ya msingi nilikua napenda kusoma vitabu vyenye hadithi tamu sana ila ukiangalia vitabu vya enzi hizi hakuna kitabu kinachonipa hamasa ya kukisoma
Enzi hizo nilisoma hadithi kv tamu kv.
Sizitaki mbichi hizi.
Sadiki na chitemo[emoji28]
Mzee tola
Mua wazamisha meli bukoba
Faraja mchoyo.
We unakumbuka hadithi ipi iliokufurahisha enzi izo?