Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duuuh... TTCL nawapenda wako fresh kwenye net
Ukistaajabu ya mussa utayaona ya Jose.Duuuh... TTCL nawapenda wako fresh kwenye net
Hiyo inazingua mkuu tena vifurushi vyao bei ndogo na mitandao inakatakata sometimes ndio maana napenda TTCLMkuu ni voda ama tigo[emoji23]
tigo na voda wanazingua wote ndio maana natumia TTCL inanirahisishia mawasiliano yangu hasa kwenye Internet..nikitumia Voda labda kwenye SMS na dakika kidogo tuIpi sasa tigo au voda
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Ukistaajabu ya mussa utayaona ya Jose.
TTCL kwa Dar mtandao mzuri sana shida ukitoka nje ya Dar tuu, nadhani wanahitajika kufanya coverage ya kutosha na mikoani pia.tigo na voda wanazingua wote ndio maana natumia TTCL inanirahisishia mawasiliano yangu hasa kwenye Internet..nikitumia Voda labda kwenye SMS na dakika kidogo tu
Yote hiyo ni kobe tena huu mtandao wa kihuni wa tigo ndio mbaya zaidiHiyo inazingua mkuu tena vifurushi vyao bei ndogo na mitandao inakatakata sometimes ndio maana napenda TTCL