Kati ya voda Na tigo unapenda nini!!

Kati ya voda Na tigo unapenda nini!!

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Hivi unadhani upi ni mtandao bora kwa matumizi Na ambao hukupa raha ya kuenjoy maisha!

Kwa Mimi huwanikiwa natumia voda napata raha mustarehe kabisa!
Tuambie chaguo lako!
 
tigo na voda wanazingua wote ndio maana natumia TTCL inanirahisishia mawasiliano yangu hasa kwenye Internet..nikitumia Voda labda kwenye SMS na dakika kidogo tu
TTCL kwa Dar mtandao mzuri sana shida ukitoka nje ya Dar tuu, nadhani wanahitajika kufanya coverage ya kutosha na mikoani pia.
 
Back
Top Bottom