Kati ya voda Na tigo unapenda nini!!

Huku Zenji tunagonga line zote, inategemea na netiweki ya siku hiyo, siku hizi dabo laini ndo mpango mzima. Ikikamata neti ya voda unagonga tu ikikamata ya tigo mbele kwa mbele.
 
Hivi unadhani upi ni mtandao bora kwa matumizi Na ambao hukupa raha ya kuenjoy maisha!

Kwa Mimi huwanikiwa natumia voda napata raha mustarehe kabisa!
Tuambie chaguo lako!
Vodacom

Power to you!
 
Dah.... Tritel nao wako vizuri lakini [emoji87] [emoji13] [emoji482] [emoji490]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…