dimaa
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 4,174
- 5,658
Habari za wakati huu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nadhani katika suala ambalo watu tunatakiwa tuwe na ubunifu mkubwa ni kwenye tendo la ndoa.
Kuna mwalimu wetu chuoni alikuwa anatufundisha somo la biology , kwenye topics ya reproduction ilikuwa ni kasheshe.
Yaani vigin ama penis alikuwa akivitamka kwa kiswahili kama vilivyo, kizuri tulikuwa tushaanza kujitambua kwahiyo tulikuwa tunaendana na mazingira yalivyo.
Kiukweli alitupatia ufundi mkubwa sana namna ya kuridhishana katika tendo la ndoa , mautundu na maujanja mbalimbli muwapo faragha.
Mimi binafsi naona mtu alopita secondary na kuendelea ana faida kubwa sana ya kuaplay mbinu za kitaalamu kitandani , hasa kwa wale walopita katika masomo ya sayansi wanafaida kubwa sana.
Wewe je unamtazamo gani katika hili?
Karibuni wandugu.