Kati ya waliosoma na wasiosoma ni wepi wanaujuzi zaidi kitandani?

Kati ya waliosoma na wasiosoma ni wepi wanaujuzi zaidi kitandani?

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
4,174
Reaction score
5,658
Habari za wakati huu,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nadhani katika suala ambalo watu tunatakiwa tuwe na ubunifu mkubwa ni kwenye tendo la ndoa.

Kuna mwalimu wetu chuoni alikuwa anatufundisha somo la biology , kwenye topics ya reproduction ilikuwa ni kasheshe.

Yaani vigin ama penis alikuwa akivitamka kwa kiswahili kama vilivyo, kizuri tulikuwa tushaanza kujitambua kwahiyo tulikuwa tunaendana na mazingira yalivyo.

Kiukweli alitupatia ufundi mkubwa sana namna ya kuridhishana katika tendo la ndoa , mautundu na maujanja mbalimbli muwapo faragha.

Mimi binafsi naona mtu alopita secondary na kuendelea ana faida kubwa sana ya kuaplay mbinu za kitaalamu kitandani , hasa kwa wale walopita katika masomo ya sayansi wanafaida kubwa sana.

Wewe je unamtazamo gani katika hili?

Karibuni wandugu.
 
Hadi sasa sijaona mwanamke kuchangia humuu uzi kwakuwa wengi wa humu ni wasomi na wanajifanya wajuaji ktk kila uzi but huu [emoji40]. Mtoa Mada tuendelee kuvuta subira

Dunia ingekuwa na mlango kuna Mtu ningemtoa nje
 
mseme msemavyo yote ni bure eeeh kwani mapenzi iii hayana shule eehh - vijana jazz enzi ziile naintiini kweusi

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
 
Hadi sasa sijaona mwanamke kuchangia humuu uzi kwakuwa wengi wa humu ni wasomi na wanajifanya wajuaji ktk kila uzi but huu [emoji40]. Mtoa Mada tuendelee kuvuta subira

Dunia ingekuwa na mlango kuna Mtu ningemtoa nje
Mtaje mzee nafsi itulizane
 
Back
Top Bottom