Kati ya waliosoma na wasiosoma ni wepi wanaujuzi zaidi kitandani?

Kati ya waliosoma na wasiosoma ni wepi wanaujuzi zaidi kitandani?

Likija suala la tendo la ndoa au ngono...

Its never about theory.. Its all about practical...

Mwenye ujuzi zaidi ni yule anayefanya na kukutana na mengi siyo yule anayesoma kwenye makaratasi au kuangalia kwenye TV labda...


Cc: mahondaw
 
Utundu/utaalamu wa kitandani hauna uhusiano wa moja kwa moja na elimu ya darasani.

Nimeshawahi kudate std 7 leaver alikuwa mtaalamu kuzidi hata wenye shahada zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom