Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Friends, ladies and gentlemen.
Unadhani nani atakua wa kwanza miongoni mwa viongozi waandamizi CHADEMA wanaozodoana na kulumbana hadharani kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, atashindwa kustahimili mgandamizo wa joto la kisiasa ndani ya chadema na kukimbilia kwingineko?
Unadhani wa kwanza ataelekea wapi kwa mfano?
Na je,
CHADEMA inaelekea zama mpya.
Na kinachoendelea ni mwanzo wa mwisho wa CHADEMA au mwanzo wa CHADEMA mpya, na kivip?🐒
Mungu Ibariki Tanzania.