Wewe unatimkia chadema,choice act na jo anasaliaFriends, ladies and gentlemen.
Unadhani nani atakua wa kwanza miongoni mwa viongozi waandamizi chadema wanaozodoana na kulumbana hadharani kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, atashindwa kustahimili mgandamizo wa joto la kisiasa ndani ya chadema na kukimbilia kwingineko?
Unadhani wa kwanza ataelekea wapi kwa mfano?
Na je,
Chadema inaelekea zama mpya.
Na kinachoendelea ni mwanzo wa mwisho wa Chadema au mwanzo wa Chadema mpya, na kivip?π
Mungu Ibariki Tanzania.
Lissu ataondoka ila hawezi kwenda Fisiem Zaidi zaidi atasajiri chama kipya kitakuwa na nguvu Kuliko ata Chadema..Friends, ladies and gentlemen.
Unadhani nani atakua wa kwanza miongoni mwa viongozi waandamizi chadema wanaozodoana na kulumbana hadharani kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, atashindwa kustahimili mgandamizo wa joto la kisiasa ndani ya chadema na kukimbilia kwingineko?
Unadhani wa kwanza ataelekea wapi kwa mfano?
Na je,
Chadema inaelekea zama mpya.
Na kinachoendelea ni mwanzo wa mwisho wa Chadema au mwanzo wa Chadema mpya, na kivip?π
Mungu Ibariki Tanzania.
Gentleman kwa kuzingatia kinachoendelea kwa sasa chadema,Chadema haiwez kubadilika na kamwe mbowe hawaz kukiacha chama chake labda mwenzake anaweza kuondoka
Lissu hawezi kwenda CCM na wala hakuna ugomvi wa kumfanya atimke.Lissu akitimkia CCM atakuwa atakuwa Masumbuko Lamwai wa pili.
huo uhuru umeanza lini gentleman?π€£Lissu hawezi kwenda CCM na wala hakuna ugomvi wa kumfanya atimke.
Ni mambo ya kuwekana sawa, kama ana hoja basi atasikilizwa na zitajadiliwa tatizo lipo wapi?
CDM kuna uhuru wa mwanachama kuongea kama anaona kuna baadhi ya mambo hayaendi sawa.
sure,Chadema kama brand haina shida, tatizo lipo kwa watu wachache waliotumua na wanatumia hiyo brand kwa manufaa yao na sio kwa manufaa ya taida na wananchi kwa ujumla, hivyo hao watu wakiondoka inaweza kuwa haune kwa chama ikiwa kitasajili watu wazalendo wenye nia ya kweli ya upinzani.