ndo mambo ya uswazi Mkuu.
Bishanga unaitwa kule kwa Aspirin
ndo mambo ya uswazi Mkuu.
Bishanga unaitwa kule kwa Aspirin
Wote wawili ni SHEMALE, labda yule dada hujipa ujauzito mwenyewe, dont assume ni wa mumewe.
Ndio maana unaambiwa ukiona wapenzi wanagombana usijaribu kuweka chumvi kwa neno lolote lile.Mwisho wake ndo huo,jioni wenzenu wanacheka mpka wanapeana matumbo....Mapenzi waachien watu wawili.
mwaya tumbo kuwa kubwa sio lazima likuzwe na mumewe ndio maana tukagaiwa tofauti ndefu fupi wengine nene wengine nyembaba lakini shuguli zao ama efficiency zinapishana so ugomvi wao na tumbo kujaa wala auendani kama uamini nipe mkeo uone kama atazaa njuguam kiddingbyeee happy friday bana tumethutbutu tumewezwa ila ukacameron NO!!!!!!!!!Majirani zangu (Mke na mumewe) huwa wanagombana mara kwa mara. Katika mzozo wao mara nyingi utamsikia mwanamke akimwambia mumewe maneno kadhaa ya kejeli na dharau. Utasikia tu: Nipige kama wee mwanaume kweli, kati ya wanaume na wee utajihesabia mwanaume,....na maneno kede wa kede ya aibu.Mume naye utamsikia: Kwanza nanihii yako mbovu, sijui nini na nini......Cha ajabu baada ya muda tunamwona bibiye tumbo limekua kuelekea mbele.Basi watu tunabaki tumeduwaa.Heshimianeni jamani.
khee!!! jamani hii mpya!Wote wawili ni SHEMALE, labda yule dada hujipa ujauzito mwenyewe, dont assume ni wa mumewe.
mwaya tumbo kuwa kubwa sio lazima likuzwe na mumewe ndio maana tukagaiwa tofauti ndefu fupi wengine nene wengine nyembaba lakini shuguli zao ama efficiency zinapishana so ugomvi wao na tumbo kujaa wala auendani kama uamini nipe mkeo uone kama atazaa njuguam kiddingbyeee happy friday bana tumethutbutu tumewezwa ila ukacameron NO!!!!!!!!!
Mwanamke anajipaje ujauzito
Nakunong'oneza: SHEMALE = 2 IN 1, ndo na wewe ujiongeze sasa inakuwaje!
Usipoelewa ina maana hata za kichina hutaelewa