TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
hayo yapo masaki kuliko hata uswazi, sema ndio hivyo tenando mambo ya uswazi Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hayo yapo masaki kuliko hata uswazi, sema ndio hivyo tenando mambo ya uswazi Mkuu.
ndo aina ya mapenzi yao
hayo yapo masaki kuliko hata uswazi, sema ndio hivyo tena
hayo yapo masaki kuliko hata uswazi, sema ndio hivyo tena
Kweli kabisa kamanda. Kule bwana ndo kuna mambo maana zile za We unaendesha VX na mie naendesha Benz utanambia nini we mwanaume! Ah kwa wenye nazo bwana haimaanishi heshma na mambo yote mazuri pia yako kwao. Huko ndo kuwakako moto!
Majirani zangu (Mke na mumewe) huwa wanagombana mara kwa mara. Katika mzozo wao mara nyingi utamsikia mwanamke akimwambia mumewe maneno kadhaa ya kejeli na dharau. Utasikia tu: Nipige kama wee mwanaume kweli, kati ya wanaume na wee utajihesabia mwanaume,....na maneno kede wa kede ya aibu.
Mume naye utamsikia: Kwanza nanihii yako mbovu, sijui nini na nini......
Cha ajabu baada ya muda tunamwona bibiye tumbo limekua kuelekea mbele.
Basi watu tunabaki tumeduwaa.
Heshimianeni jamani.