Kati ya watangazaji hawa maarufu, nani ni zaidi ya mwenzake?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ni Watangazaji Wa KIKE Waliojizolea Umaarufu Mkubwa Mno Kwa Wasikilizaji Na Watazamaji Wakitokea Mawingu Ya Mbinguni Media Group.

Watangazaji Hao Ni " Kijana Chunusi " Na " Barabara Ya Hassani ". Wewe Unadhani Nani Anamzidi Mwenzake Ktk Vigezo Hivi Vifuatavyo?


  • UMAHIRI WA UTANGAZAJI
  • MVUTO WA SAUTI
  • MWONEKANO WA MWILI
  • UZURI WA SURA a.k.a SURA YENYE MVUTO ZAIDI
  • UWEZO WA KUFIKIRI NA KUCHAMBUA MAMBO

Nawasilisha!
 
ndi kinanani hao wapo bbc.cnn.aljazeera au ni wale wa vipindi vya mchana vya kina bi hindu na mitaabu yao
 
Mkuu GENTAMYCINE Leo umeamua kuwa na mawingu ya mbinguni?,hapo hakuna watangazaji bhana,kuna wapiga soga..
 
Wote hawavutii kimuonekano tena huyo Kijana ndo mbovu hana hoja mweupe kichwani na ule mkorogo sasa.Babra ana sauti ila mvuto zero anahitaji mazoezi kanenepa ka kiboko.
 
Dah wapi Glory robyson wa Radio Free huyu mdada namuelewa zaidi Ila Babra nae anatisha
 
babra bwana ana sauti nzur na hata muonekano pia

Mmmmmmh Mwonekano? Yale " KOTAMA " Yaliyokaa Vibaya? Ktk Sauti Na Sura Nakukubali Yupo Njema Sana Na She's Very Articulative.
 
ndi kinanani hao wapo bbc.cnn.aljazeera au ni wale wa vipindi vya mchana vya kina bi hindu na mitaabu yao

Wapo MATAPELI MEDIA GROUP Ambapo Kuna MATAPELI Ya KUSIKILIZA Na MATAPELI Ya KUONA Na Huwepo Studioni Kila Asubuhi!
 
Wote hawavutii kimuonekano tena huyo Kijana ndo mbovu hana hoja mweupe kichwani na ule mkorogo sasa.Babra ana sauti ila mvuto zero anahitaji mazoezi kanenepa ka kiboko.

Nilikuwa napita ila we umenirudisha ..

Kwani kiboko hana mvuto na je unene hauvutii.
Hizi ni media propaganda za Hollywood kwamba watu wanene sio watu wa media na hata kama wakiwepo Basi kwenye scene ya vichekesho au wabaya flani hivi they don't give a credit to BBW.

Mie Binafsi I love my mpenzi ambaye ni bonge na ni most beautiful on my eyes .
 

Kwangu unene hauvutii na wala haupendezi hata kiafya mwili mkubwa chanzo cha magonjwa mbali mbali .Tena Babra na ule ufupi angepunguza unene angekuwa vizuri mana namwona mnene mno hadi huwa kama anashindwa kupumia.Nakupa hongera kumpenda mpenzi wake pamoja na ubonge wakati mwisho wa siku kila mtu na interest zake wanaopenda mabonge, wengine viportable.
 

Kumbe Ndiyo Maana " Barabara Ya Hassani " Huwa Anapenda Mno Kuvaa High Heels Ili Kutuficha Sisi Watu UMBILIKIMO WAKE! Leo Tumejua.
 

Ahsante but hapo kwenye magonjwa sayansi bado inakizunguzungu coz every day people dies whether ni wanene au wembamba na hakuna report yoyote ya kitabibu inayoonesha watu wanene ndio wanaongoza kwa magonjwa sana kuliko wembamba..

The fact is we always choose what is bad and what is good and the media ndio kitu pekee kinachotushape saikolojikali kuwa hivi ni sawa na taswira ya mtu mweusi ilivokuwa hapo zamani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…