Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Kumbe Ndiyo Maana " Barabara Ya Hassani " Huwa Anapenda Mno Kuvaa High Heels Ili Kutuficha Sisi Watu UMBILIKIMO WAKE! Leo Tumejua.
Ahsante but hapo kwenye magonjwa sayansi bado inakizunguzungu coz every day people dies whether ni wanene au wembamba na hakuna report yoyote ya kitabibu inayoonesha watu wanene ndio wanaongoza kwa magonjwa sana kuliko wembamba..
The fact is we always choose what is bad and what is good and the media ndio kitu pekee kinachotushape saikolojikali kuwa hivi ni sawa na taswira ya mtu mweusi ilivokuwa hapo zamani..
Acha maneno ya kujifariji mkuu huyo demu wako mwambie afanye nazoezi mwili upungue unasingizia tu media bure nijuavyo unene ni matatizo makubwa sana tu hafu hata MTU bonge havutiii kabisa zaidi ya kuwa tepetepe na mzito kuliko kimo.

Barbara
Huyu sio Babra mimi nilikwisha jenga picha yake akilini mwangu jinsi alivyo mzuri na sauti yake nzuri, nitabaki na picha ya akilini mwangu.