kati ya watanzania 4, mmoja ni chizi, nime prove hapa jamii forums

nanga mstafu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2016
Posts
381
Reaction score
649
Kuna watu wana comments za ajabu, wanaanzisha threads za ajabu tu, yani hata wewe unayefungua huu Uzi utakua 1 kati ya wale 4
 
Kuna watu wana comments za ajabu, wanaanzisha threads za ajabu tu, yani hata wewe unayefungua huu Uzi utakua 1 kati ya wale 4
Bora wew umejitambua na uchizi wako, unakaribia kupona sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna watu wana comments za ajabu, wanaanzisha threads za ajabu tu, yani hata wewe unayefungua huu Uzi utakua 1 kati ya wale 4
Unataka kusema kati ya wakuu wa majimbo 4 mmoja naye chizi!
cc mrisha gambwe
 
QUIGLEYwakuk: 18132119 said:
Unataka kusema kati ya wakuu wa majimbo 4 mmoja naye chizi!
cc mrisha gambwe
Najiuliza sasa wakikaA maraisi 4, maprofessor 4, madoctor 4, wabunge 4, mawaziri 4, huu utafiti utakua na kasoro sijui
 
Huu utafiti ni sahihi kabisa, wamecheki ckiteria nyingi, na kuwa professor au PhD doctor haina maana u timamu,
Na mwanzilishi wa huu uzi bila wasiwasi ni chizi kabisa, kama uongo mbona unataka kubisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…