nanga mstafu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 381
- 649
Kuna watu wana comments za ajabu, wanaanzisha threads za ajabu tu, yani hata wewe unayefungua huu Uzi utakua 1 kati ya wale 4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora wew umejitambua na uchizi wako, unakaribia kupona sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna watu wana comments za ajabu, wanaanzisha threads za ajabu tu, yani hata wewe unayefungua huu Uzi utakua 1 kati ya wale 4
Hata wewe ni chizi mwenzangu,,,,,,,hahahaBora wew umejitambua na uchizi wako, unakaribia kupona sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nahisi nimepona...nashangaa bado unaokota makopo, hahahHata wewe ni chizi mwenzangu,,,,,,,hahaha
Unataka kusema kati ya wakuu wa majimbo 4 mmoja naye chizi!Kuna watu wana comments za ajabu, wanaanzisha threads za ajabu tu, yani hata wewe unayefungua huu Uzi utakua 1 kati ya wale 4
Najiuliza sasa wakikaA maraisi 4, maprofessor 4, madoctor 4, wabunge 4, mawaziri 4, huu utafiti utakua na kasoro sijuiQUIGLEYwakuk: 18132119 said:Unataka kusema kati ya wakuu wa majimbo 4 mmoja naye chizi!
cc mrisha gambwe