Kati ya Watanzania Milioni 64, Maprofesa ni 226 tu. Baba wa Taifa ndiyo wa kubeba hii aibu

Umeongea ukweli mkuu
 
Kwann umeingiza udini ..? Hayati mkapa alijenga shule mzee baba shule niliyosomea alijenga mkapa awamu take. Shule za kata zilianzia awamu ya mkapa JK kaja kuendeleza tena sio yeye ni lowasa ndio alikomalia shule za kata.
 
Biblia inapingwa na kichwa cha habari cha uzi huu:

Mathayo 23:9​

Wala msimwite mtu yeyote ‘Baba’ hapa duniani, maana Baba yenu ni mmoja tu, aliye mbinguni.
 
Bongo siasa inalipa kuliko kupambania uprofesa na udokta darasani.
 
Wajinga Huwa mnajua mchango wa mtu msomi ni kugawa pesa.

Huyo kabudi amefundisha Wataalamu wengi wa sheria sawa sawa na Lipumba Kwa Wataalamu wa Uchumi,ndio mchango wao.
Inakatisha tamaa kusikia professor wa UDSM akiingia kwenye siasa anasema ametolewa jalalani
 
Wa jalalani nae yupo
 
Tanzaniwa tunafundishwa hata namna ya kuhoji? eti tuhoji kwa stahaa mwizi tumwite fisadi na tumuundie tume majibu ya tume yabaki kuwa siri hao tunaodhani ni wasomi wetu ndiyo wanatumika kujitoa mhanga kwakujitoa ufahamu yaani wanatumia tabia ya unyumbu ya kufuata mkumbo kwa kuahirisha kufikiri kwa nafsi, (herding behavior). Herding behavior, defined by Ipyana Haraba, as an occurrence of entrusted people suspending their induvial reasoning because of flattering their bosses and manipulation or in favor of group objectives, (conflict of interest).
 
Wajinga Huwa mnajua mchango wa mtu msomi ni kugawa pesa.

Huyo kabudi amefundisha Wataalamu wengi wa sheria sawa sawa na Lipumba Kwa Wataalamu wa Uchumi,ndio mchango wao.
Hao wasomi aliowafundisha, wamelisaidia vipi Taifa.
 
Unaonekana una-kaudini fulani. Ukweli ni kwamba Nyerere alitaifisha shule zote zilizomilikiwa na wakatoliki na kuzifanya za serikali. Kama elimu ilishuka wakulaumiwa sio kanisa. Baada ya ujamaa kufa miaka ya Mwinyi, Mkapa, Kikwete hadi sasa kanisa likaruhusiwa kutoa elimu kama kipindi cha ukoloni ndo maana sasa hivi katoliki linaongoza nchini kutoa elimu ya kiwango cha juu kuanzia msingi, sekondari, ufundi, vyuo hadi vyuo vikuu kuliko dini nyingine bila ubaguzi wa kidini. Ukitaka fanya research na usiweke chuki binafsi ndo ukweli
 
Baada ya kutaifisha alijenga shule zipi tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…