Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Mfumo mbovu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea ukweli mkuuMkuu 😊🤓 inabidi uikane nafasi yako ukiwa mzee wa kula kimasiala au unataka kuanzisha familia mapema au ukiwa mzee wa ku copy & paste sikuizi Kuna untpliagalism software so unatakiwa uwe una acknowledge nukuu za kazi za wengine 🤣🤣🤓🤓
After PHD Ili mtu awe PROFESSOR at least ni safari ya hata miaka 10 na zaidi maana Huyu mtu awe anafanya tafiti na utafiti wake uweze ku be PUBLISHED AT INTERNATIONAL JOURNAL
Akifikisha machapisho kumi ambayo yote yata be published in INTERNATIONAL JOURNAL
ndio Huyu mtu aweze kua professor so sio lelemama 🤓🤓
Kwann umeingiza udini ..? Hayati mkapa alijenga shule mzee baba shule niliyosomea alijenga mkapa awamu take. Shule za kata zilianzia awamu ya mkapa JK kaja kuendeleza tena sio yeye ni lowasa ndio alikomalia shule za kata.Tukiambiwa Tanzania ni Nchi ya wajinga hatutakiwi kubisha.
Yaani Taifa lenye watu takribani Milioni 65 linakuwa na Maprofesa 226 huku Full Professors Wakiwa 63 na Associate Professors Wakiwa 163 tuu,na hizi ni takwimu za 2023.
Tukilinganisha na Wenzetu Kenya wao wana maprofesa 1,619 Kwa takwimu za 2019.Kati Yao Full Professors Wakiwa 710 na Associate Professors Wakiwa 979.
Kiufupi Tanzania ni ya Mwisho level Moja na Burundi Kwa kuwa na jamii yenye Elimu Duni(Mbumbumbu) Kwa Kanda ya hapa Africa Mashariki..
Anaetakiwa kubeba aibu hii kwa sehemu kubwa ni Hayati Mwalimu Nyerere maana huyo bwana yeye hakutaka kabisa ku priotise Elimu Kwa sababu anazozijua yeye na in short ni sababu za Kisiasa kuogopa challenges kutoka Kwa Wasomi ndio sababu aliwatia kizuizini na wengine wakakimbilia uhamishoni.
Hakuna shule Mpya alijenga ukiacha za wakoloni Wala kuhangaika kuwaendeleza watu kielimu.Kitu pekee alichofanya ni kuwapa watu Elimu ya UPE waweze kusoma na kuandika Kwa level ya basic education tuu.
Wanyime watu Elimu Ili uweze kuwatawala.Hii tabia imekuwa inafanywa sana na Viongozi wa lile Dhehebu.Bila JK na Sasa Samia kupanuka Elimu ,Tanzania itaendelea kuwa na watu wajinga ambao wanalishwa propaganda na Watawala.
Mathalani JK ndio alianzisha na kukuza sana shule za Sekondari Kila kata,akaalika private sector kuwekeza kwenye Elimu na awamu yake ndio kulianzoshwa vyuo vikuu vingi sana.
Baada ya hapo Rais Samia nae Kwa Sasa anajenga maelfu ya miundombinu ya Elimu,amewaondoa Watoto wa kike kunyimwa Elimu Kwa visingizio vya mimba na anajenga Veta Kila Wilaya na vyuo vikuu Kwa Kila Mkoa ambao hauna Chuo Kikuu walau tuweze kushindana na Dunia badala ya kuogopa Wageni.
My Take
Dunia ya Sasa bila Elimu na maarifa ni kunidanganya,tupeleke Watoto kupata Elimu badala ya kuogopa Wageni Kwa visingizio visivyo na msingi.
---
Dodoma. Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Dk Oscar Ishengoma amehoji idadi ya maprofesa wanaozalishwa nchini na wale wanaostaafu, huku Serikali ikisema hadi kufikia mwaka 2022, Tanzania ilikuwa na maprofesa 226.
Mbunge ataka juhudi za kuongeza maprofesa
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Omary Kipanga, amesema: “Profesa ni ngazi ya kitaaluma, ambayo mhadhiri au mtumishi wa taasisi za elimu ya juu huifikia baada ya matokeo ya kazi za kitaaluma ikiwemo kufanya machapisho na ufundishaji,” amesema na kuongeza;
“Hivyo kupanda cheo kwa mwanataaluma kunatokana na jitihada za mhusika katika ufundishaji, kufanya tafiti na kuchapisha maandiko yake katika majarida yanayokubalika kitaifa na kimataifa.”
Kipanga amesema kuongezeka kwa idadi yao kunategemea zaidi jitihadi za mtu binafsi katika utekelezaji wa majukumu yake na kukubalika kwa jitihada hizo kwa wanataaluma wenziwe kwa kuzingatia miongozo waliyojiwekea.
Amesema hadi kufikia mwaka 2022 tulikuwa na jumla ya maprofesa 226, kati yao 163 wakiwa ni maprofesa washiriki (Associate Professors) na 63 ni maprofesa kamili (Full Professors).
Amesema suala la kustaafu linahusu zaidi vyuo vikuu vya umma ambapo umri wa kustaafu ni miaka 65.
Amesema kwa takwimu za mwaka 2022 idadi ya maprofesa kamili waliostaafu ni wanne na wanaotarajia kustaafu kwa mwaka 2023 ni watano, mwaka 2024 ni wawili na mwaka 2025 ni sita.
Kipanga amesema maprofesa washiriki waliostaafu kwa mwaka 2022 ni mmoja na wanaotarajiwa kustaafu kwa mwaka 2023 ni 18, mwaka 2024 ni wanne na mwaka 2025 ni sita.
Katika swali la nyongeza Ishengoma ametaka umri wakustaafu kwa maprofesa kuongezeka kutoka miaka 65 hadi 70, huku pia akihoji kama kuna mpango wa kuongeza maslahi kwa maprofesa ili kuvutia vijana wengi kusoma kufikia ngazi hiyo ambako kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), wanahitajika 161 lakini wapo tisa tu.
Akijibu swali hilo nyongeza, Kipanga amesema kuwa suala la kuongeza umri limechukuliwa kwa ajili ya kufanyiwa kazi na suala la maslahi wamekuwa wakiendelea kuongeza.
Mwananchi
Inakatisha tamaa kusikia professor wa UDSM akiingia kwenye siasa anasema ametolewa jalalaniWajinga Huwa mnajua mchango wa mtu msomi ni kugawa pesa.
Huyo kabudi amefundisha Wataalamu wengi wa sheria sawa sawa na Lipumba Kwa Wataalamu wa Uchumi,ndio mchango wao.
Au machawa.Hao maprofesa wenyewe naamini wengi wao ni "uchwara".
Wa jalalani nae yupoHao Plof wanatusaidia nini? Umewahi kufanya uchunguzi watu wanao jikomboa kiuchumi ni watu gani? Umewahi kuangalia sehemu yoyote inayoongozwa na hao Plof kuna nini cha ziada? Hii elimu iliyo jaa misingi ya kigeni haitusaidii ndugu, tena hao Plof walitakiwa hata wasiwepo
Tanzaniwa tunafundishwa hata namna ya kuhoji? eti tuhoji kwa stahaa mwizi tumwite fisadi na tumuundie tume majibu ya tume yabaki kuwa siri hao tunaodhani ni wasomi wetu ndiyo wanatumika kujitoa mhanga kwakujitoa ufahamu yaani wanatumia tabia ya unyumbu ya kufuata mkumbo kwa kuahirisha kufikiri kwa nafsi, (herding behavior). Herding behavior, defined by Ipyana Haraba, as an occurrence of entrusted people suspending their induvial reasoning because of flattering their bosses and manipulation or in favor of group objectives, (conflict of interest).Tukiambiwa Tanzania ni Nchi ya wajinga hatutakiwi kubisha.
Yaani Taifa lenye watu takribani Milioni 65 linakuwa na Maprofesa 226 huku Full Professors Wakiwa 63 na Associate Professors Wakiwa 163 tuu,na hizi ni takwimu za 2023.
Tukilinganisha na Wenzetu Kenya wao wana maprofesa 1,619 Kwa takwimu za 2019.Kati Yao Full Professors Wakiwa 710 na Associate Professors Wakiwa 979.
Kiufupi Tanzania ni ya Mwisho level Moja na Burundi Kwa kuwa na jamii yenye Elimu Duni(Mbumbumbu) Kwa Kanda ya hapa Africa Mashariki..
Anaetakiwa kubeba aibu hii kwa sehemu kubwa ni Hayati Mwalimu Nyerere maana huyo bwana yeye hakutaka kabisa ku priotise Elimu Kwa sababu anazozijua yeye na in short ni sababu za Kisiasa kuogopa challenges kutoka Kwa Wasomi ndio sababu aliwatia kizuizini na wengine wakakimbilia uhamishoni.
Hakuna shule Mpya alijenga ukiacha za wakoloni Wala kuhangaika kuwaendeleza watu kielimu.Kitu pekee alichofanya ni kuwapa watu Elimu ya UPE waweze kusoma na kuandika Kwa level ya basic education tuu.
Wanyime watu Elimu Ili uweze kuwatawala.Hii tabia imekuwa inafanywa sana na Viongozi wa lile Dhehebu.Bila JK na Sasa Samia kupanuka Elimu ,Tanzania itaendelea kuwa na watu wajinga ambao wanalishwa propaganda na Watawala.
Mathalani JK ndio alianzisha na kukuza sana shule za Sekondari Kila kata,akaalika private sector kuwekeza kwenye Elimu na awamu yake ndio kulianzoshwa vyuo vikuu vingi sana.
Baada ya hapo Rais Samia nae Kwa Sasa anajenga maelfu ya miundombinu ya Elimu,amewaondoa Watoto wa kike kunyimwa Elimu Kwa visingizio vya mimba na anajenga Veta Kila Wilaya na vyuo vikuu Kwa Kila Mkoa ambao hauna Chuo Kikuu walau tuweze kushindana na Dunia badala ya kuogopa Wageni.
My Take
Dunia ya Sasa bila Elimu na maarifa ni kunidanganya,tupeleke Watoto kupata Elimu badala ya kuogopa Wageni Kwa visingizio visivyo na msingi.
---
Dodoma. Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Dk Oscar Ishengoma amehoji idadi ya maprofesa wanaozalishwa nchini na wale wanaostaafu, huku Serikali ikisema hadi kufikia mwaka 2022, Tanzania ilikuwa na maprofesa 226.
Mbunge ataka juhudi za kuongeza maprofesa
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Omary Kipanga, amesema: “Profesa ni ngazi ya kitaaluma, ambayo mhadhiri au mtumishi wa taasisi za elimu ya juu huifikia baada ya matokeo ya kazi za kitaaluma ikiwemo kufanya machapisho na ufundishaji,” amesema na kuongeza;
“Hivyo kupanda cheo kwa mwanataaluma kunatokana na jitihada za mhusika katika ufundishaji, kufanya tafiti na kuchapisha maandiko yake katika majarida yanayokubalika kitaifa na kimataifa.”
Kipanga amesema kuongezeka kwa idadi yao kunategemea zaidi jitihadi za mtu binafsi katika utekelezaji wa majukumu yake na kukubalika kwa jitihada hizo kwa wanataaluma wenziwe kwa kuzingatia miongozo waliyojiwekea.
Amesema hadi kufikia mwaka 2022 tulikuwa na jumla ya maprofesa 226, kati yao 163 wakiwa ni maprofesa washiriki (Associate Professors) na 63 ni maprofesa kamili (Full Professors).
Amesema suala la kustaafu linahusu zaidi vyuo vikuu vya umma ambapo umri wa kustaafu ni miaka 65.
Amesema kwa takwimu za mwaka 2022 idadi ya maprofesa kamili waliostaafu ni wanne na wanaotarajia kustaafu kwa mwaka 2023 ni watano, mwaka 2024 ni wawili na mwaka 2025 ni sita.
Kipanga amesema maprofesa washiriki waliostaafu kwa mwaka 2022 ni mmoja na wanaotarajiwa kustaafu kwa mwaka 2023 ni 18, mwaka 2024 ni wanne na mwaka 2025 ni sita.
Katika swali la nyongeza Ishengoma ametaka umri wakustaafu kwa maprofesa kuongezeka kutoka miaka 65 hadi 70, huku pia akihoji kama kuna mpango wa kuongeza maslahi kwa maprofesa ili kuvutia vijana wengi kusoma kufikia ngazi hiyo ambako kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), wanahitajika 161 lakini wapo tisa tu.
Akijibu swali hilo nyongeza, Kipanga amesema kuwa suala la kuongeza umri limechukuliwa kwa ajili ya kufanyiwa kazi na suala la maslahi wamekuwa wakiendelea kuongeza.
Mwananchi
Hao wasomi aliowafundisha, wamelisaidia vipi Taifa.Wajinga Huwa mnajua mchango wa mtu msomi ni kugawa pesa.
Huyo kabudi amefundisha Wataalamu wengi wa sheria sawa sawa na Lipumba Kwa Wataalamu wa Uchumi,ndio mchango wao.
Ni Kweli mkuu Tupo pamoja 🙏Umeongea ukweli mkuu
Baada ya kutaifisha alijenga shule zipi tena?Unaonekana una-kaudini fulani. Ukweli ni kwamba Nyerere alitaifisha shule zote zilizomilikiwa na wakatoliki na kuzifanya za serikali. Kama elimu ilishuka wakulaumiwa sio kanisa. Baada ya ujamaa kufa miaka ya Mwinyi, Mkapa, Kikwete hadi sasa kanisa likaruhusiwa kutoa elimu kama kipindi cha ukoloni ndo maana sasa hivi katoliki linaongoza nchini kutoa elimu ya kiwango cha juu kuanzia msingi, sekondari, ufundi, vyuo hadi vyuo vikuu kuliko dini nyingine bila ubaguzi wa kidini. Ukitaka fanya research na usiweke chuki binafsi ndo ukweli