Kati ya Watanzania Milioni 64, Maprofesa ni 226 tu. Baba wa Taifa ndiyo wa kubeba hii aibu

Usimlaumu Julius aliyesaidia babu zetu kuwa huru nakupunguza ujinga kwenye bongo zao!!

Siyo jukumu lake kuhakikisha watanganyika wanakuwa ma professor,
Wewe ulifukuzwa shulee au ubongo upoza???
Julius alitaka kuwa padre,akakatazwa na askofu wa kizungu na kumtaka aende kwenye siasa....sijui unaunganisha dots!!.. habari za kutukomboa achana nazo
 
Kwanza tuulize hao tulio nao wamelifanyia nini taifa hili? Pili, kwani mwl. Nyerere ndio anafanya watu wasisome level hiyo au ninukiritimba wa ma lecturer wengi kuzuia wengi wasitoboe.. Maana wengi wao Hawa support wanafunzi wengi ipasavyo, nikama wanataka wabaki wao tu ktk usomi😁😁
 
Sasa Nyerere ana shida gani hapo kwenye idadi ya Maprofesa? Wewe nini kimekukwamisha kuwa profesa kwa mfano.
 
Na wote wameingia kwenye siasa, kwenye ulaji...
 
Julius alitaka kuwa padre,akakatazwa na askofu wa kizungu na kumtaka aende kwenye siasa....sijui unaunganisha dots!!..
Katoliki imetoa viongozi wengi africa mf kaunda, mugabe n.k ni kwa sababu ya organization yao kielimu.

Wapo wakatoliki wengi waliosupport harakati za uhuru (kwa siri-kwa kuhofia kupoteza kazi, kwa sababu za kibinadam inaeleweka, na pia kwa wazi). Sasa habari za wao kuandaa watu ili wakandamize elimu kwa waislam, ni muono mfupi sana.
 
Hahahaha eti kwa Siri...mkoloni na wazungu wenzie walikua kitu kimoja
 
Hao maprofesa wenyewe ndio pamoja na yule wa majalalani..?
Sioni umuhimu wa maprofesa kwa nchi kama Tz ni ujinga mtupu.
 
Wajinga Huwa mnajua mchango wa mtu msomi ni kugawa pesa.

Huyo kabudi amefundisha Wataalamu wengi wa sheria sawa sawa na Lipumba Kwa Wataalamu wa Uchumi,ndio mchango wao.
Itoshe kusema [emoji1241] tuna maprofesa wa hovyo sana kwanzia kabudi , lipumba, mkumbo ++
 
Siyo kweli,hayawani ni wanyama wa porini
katika mijadala, epuka sana kutumia neno 'si kweli'. Kwanini? Unajivua nguo kuonyesha jinsi hujui na una kiburi cha ufahamu. Unapotumia neno hilo, ina maanisha una hakika, pasi na shaka usemacho ni sahihi.

Google maana ya neno hayawani, kisha uje ututake radhi hapa.
 
Hayawani neno la kiarabu ambalo kiswahili kimeazima,maana yake wanyama wa mwituni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…