Kati ya Watanzania Milioni 64, Maprofesa ni 226 tu. Baba wa Taifa ndiyo wa kubeba hii aibu

Hao maprofesa tulio nao wana tija gani kwa taifa? Kama maprofesa wetu ni aina ya Kabudi, au Mkumbo hata wakiwa 100,000 taifa halitafaidi chochote.
 
Hao maprofesa tulio nao wana tija gani kwa taifa? Kama maprofesa wetu ni aina ya Kabudi, au Mkumbo hata wakiwa 100,000 taifa halitafaidi chochote.
Kati ya Prof anaesambaza maarifa na wewe kiasi nani ana Tija?
 
Kama recategorization tu haitambui Masters Degree unategemea nini?

Watumishi na watu wengine wakasome ili iweje?
Hii ni aibu kwa Taifa kwa kusimamia vitu vya ajabu na kukataa kuwapromote wasomi.
 
Punguzeni lawama. Maprofesa 63 ndio wakwamishe idera ya Afya? Tuwe wakweli.
 
maprofesaa ni helpless ndo wanaharibu kila mahal , wanaweka rushwa mbele hadi mavyuon , gpa za kupeana na ufanisi wa kaz ni zero
Naona unaongea kwa hisia. Vyuoni Maprofesa ni wangapi?.
 
Hao wasomi wa kenya wanamsaidia nini mtu wa chini elimu yao mbona aijaondoa ukabila utabaka ukanda umimi ufisadi,mutu mweusi hata asome vipi elimu hiwezi mbadilisha kulia na kucheka zote kelele tu
 
Tatizo vijana wa 2000 wanadhani Nyerere aliichukua hii nchi ikiwa hivi ilivyo Leo.
 
Hao wasomi wa kenya wanamsaidia nini mtu wa chini elimu yao mbona aijaondoa ukabila utabaka ukanda umimi ufisadi,mutu mweusi hata asome vipi elimu hiwezi mbadilisha kulia na kucheka zote kelele tu
Wapumbavu ndio hushikilia mambo ya ukabila na udini na sio wasomi
 
Nipe faida ya profesa au uprofesa?

Swali zuri sana mkuu

Mazingira ya elimu Bongo ni magumu sana . Mtu unasoma lakini Serikali haina promo kwa wasomi. Kiwango cha juu cha elimu kinachotambulika kwao ni BA tu huku MA wakiiweka pembeni.

Hakuna faida ni maumivu
 
Tatizo vijana wa 2000 wanadhani Nyerere aliichukua hii nchi ikiwa hivi ilivyo Leo.
Aliyeifikisha hapa sio yeye Bali ni wale wa baada ya hapo,yeye ukiacha Kiswahili hakuna kingine alifanya
 
Kwa ukanda wa Afrika mashariki kenya ndio nchi yenye wasomi wengi,swali hao wasomi wameisaidia nini kenya mbodo kuna ukabila utabaka ufisadi ukanda ukame mpaka watu wanakosa maji ya kupikia na kuoga hali ya kuwa chini ya aridhi kuna maji ziwa vikitoria lina maji bahari imejaa maji?wasomi wengi sio kigezo cha ukombozi wa muafirika,wapo wasomi wengi hapa mitaani tunawaona walivyo wapumbavu
 
Hata hivyo mleta maada inaonekana nae ni mmoja wa machawa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…