The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Matukio ya kuteka, kupoteza, kuua, na sasa kushambulia wasiokubaliana na serikali vimeanza kuzoeleka nchini. Hali ni mbaya.
Mbali na ufisadi uliogeuka donda ndugu, jinai ya kuangamiza, kutisha, kunyamazisha, na kudhulumu wasiokubali kugeuzwa au kujigeuza chawa imeongezeka.
Vitisho vya kuvuruga amani na utulivu ndiyo usiseme. Je hii amani na utulivu vinafaidiwa na kuvurugwa na nani kati ya watawala na watawaliwa hata walaji na waliwao ?
Je wananchi waogope vitisho au waendelee kudai haki? Je inawezekana kuwa na amani na utulivu bila haki? Je tunaweza kuwa na amani na utulivu kwenye matumizi mabaya ya vyombo vya dola na dhuluma?
Nawasilisha.