Kati ya watu 10 wanaofanya kazi kama yako ni wangapi wametoboa?

Kati ya watu 10 wanaofanya kazi kama yako ni wangapi wametoboa?

Sijaelewa una maana gani kwa mfano me ni nafanya kazi ofisi fulani je una maanisha hii kitengo kwa ofisi yangu au kwa tanzania nzima
 
Binafsi naamini hakuna ujira mbaya ikiwa ni halali, inakupasa uwe mtulivu, uwe mfanisi, uwe jasiri kukabiliana na changamoto, uwe mbunifu kwenye ujira wako.

hakika utayaona mafanikio yako, jitahidi kumshirikisha Mola Mlezi.

ikiwa ni kazi haramu basi mafanikio huja kwa wepesi kwa kuwa hakuna dhamana, kwa mfano, uuzaji wa mihadarati (madawa ya kulevya) hesabu za siku 365 Basi itadhihirisha kupata mafanikio zaidi ya milioni 550 ikiwa utasalimika na doria.
 
Mwalimu huyu
Ni kweli, kati ya walimu 100, waliotoboa ni wawili au watatu, kwa maana ya kujega nyumba yenye hadhi mbali na kibanda na akamiliki usafiri japo IST!

Na wachache sana wana mudu chakula na mavazi.

Ualimu ni shida sana, imepelekea kila kiongozi anawatisha na kufanyishwa kazi hata nje ya muda wa kazi bila malipo.
Kisingizio eti "ualimu ni wito"
 
Acha ujinga sitanii mkuu
Aahaaaa,kilaza nakuona
Screenshot_20230908-141619.png
 
Back
Top Bottom