Kati ya Whitedent na Colgate ipi dawa iliyo bora

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,440
Reaction score
32,260
Wakuu naomba kujuzwa kwa anae fahamu ubora wa hizi dawa za meno sina nia mbaya juu ya biashara za watu lengo langu ni kupata bidhaa bora kwa ajili ya matumizi na kwa afya zetu.
 
Sensodyne
 
mkuu, nakushauri tafuta dawa inaitwa forever bright y aaloevera ni nzuru sana zaidi ya sana, bei si chini ya 10,000, wengine wanauza 12, 14, hadi 15 inategemea na mahala duka lilipo.

ila ni dawa nzuri sana kwa ulinzi wa meno moja kwa moja.
 
Wakuu naomba kujuzwa kwa anae fahamu ubora wa hizi dawa za meno sina nia mbaya juu ya biashara za watu lengo langu ni kupata bidhaa bora kwa ajili ya matumizi na kwa afya zetu.

Kwa hizo mbili Colgate imekimbiza
 
Wakuu naomba kujuzwa kwa anae fahamu ubora wa hizi dawa za meno sina nia mbaya juu ya biashara za watu lengo langu ni kupata bidhaa bora kwa ajili ya matumizi na kwa afya zetu.

Hapo Ni Sawa Na Kuuliza Kiungo Salum Telela ( Whitedent ) Wa Yanga FC Na Xavi Hernandez ( Colgate ) Wa FC Barcelona Nani Zaidi. Tafakari!
 
Wakuu naomba kujuzwa kwa anae fahamu ubora wa hizi dawa za meno sina nia mbaya juu ya biashara za watu lengo langu ni kupata bidhaa bora kwa ajili ya matumizi na kwa afya zetu.

Yaani hapo nisawa na kuuliza nyama na maharage kipi kina protein nyingi. Mkuu Colgate ni world certified as the best toothpaste huwezi linganisha na Whitedent.
 
Nimejifunza kitu leo kwenye hizi dawa mbili..naamini majibu hayakuwa kiushabiki..asanteni sana
 
Zote biashara tu...

We angalia inayokufaa....hapa kila mtu atakwambia anayotumia mwishowe ukose jibu
 
me natumia whitedent na meno yangu ni imara
 
Kwenye misitu ya pwani karibu na baharini kuna miti mizuri inafaa kwa muswaki ni bora zaidi
 
Colgate mkuu nilienda kung‘oa jino nikaambiwa tena nitumie ile yenye nyekundu na blue kama pia sensodine’
 
Colgate ukiswakia unaskia mpaka ndani ya meno inapenya" ni dawa bora
 
Back
Top Bottom