Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Naamini Yanga anaenda Robo Fainal, Simba habari yake imeshakwisha, hatoboi, Wydad anaimaliza game kwake.
Mpaka sasa Yanga ananafasi kubwa ya kwenda mbele; na mimi naona ni bora apite Yanga angalau anaweza kuleta ushindani robo fainal na nchi ikatambulika.
Yanga wana timu nzuri na Wako serious na sajili zao. Sajili za Yanga ni za mkakati, na malengo yao ni realistic;
Wale wengine eti malengo yao ni kucheza fainal [emoji1787], kwa sajili gani wanazofany?
Malengo ya Simba ni unrealistic na hayatekelezeki kutokana na sajili zao ambazo haziendani na malengo yako .
Simba aishie makundi, hata akipita robo fainal Hawana impact…. Utasikia tu tumekufa kiume kwenye robo fainal, tumechoka na haya maneno.
Common things occur commonly ; simba ameingia robo fainal mara 5 na zote hajawahi kuvuka zaidi ya hapo; hata hi ya sasa akivuka ni hatovuka, so why bother , aishie tu hapo hapo makundi.
Yanga apite atupe ladha mpya ya kuona robo fainal.
Hao Simba wala hawapo serious , tizama hata sajili zao, sajili za kiuniuni na kimchongo ambazo hazina uwezo wala impact.
Yanga kupita ni lazima